DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Soma ili uelewe sio ili ujibu au uandike commentYani wewe dogo aliyekwambia watu wenye akili ndo sio maskini ni Nani?
Wewe ni Dr uko shuleni ulienda kusomea mitishamba??
Huyo jamaa hana akili ya kugundua akili za chizi maarifa. Wewe upo smart sana ndo maana umegundua hili. Kuna Wakenya fulani wamo humu wanataka sana niende nchini kwao nipewe na Uraia nikagombee urais. Sema tu mimi sipendi shoboUnamsahau vipi Chizi Maarifa
Hacha uchawa wewe muhayaSoma ili uelewe sio ili ujibu au uandike comment
Read between the lines
Sawa Mimi nimemshauri Mama samiah ili mmsaidiweHacha uchawa ww muhaya
Huyo jamaa hana akili ya kugundua akili za chizi maarifa. Wewe upo smart sana ndo maana umegundua hili. Kuna Wakenya fulani wamo humu wanataka sana niende nchini nipewe na Uraia nikagombee urais. Sema tu mimi sipendi shobo
Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele.
Mtu Kama
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Bams
Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka.
Serikali Kama mtaendelea kuwakumbatia watu ambao hawana akili na MAARIFA eti ndo waongoze nchi Basi Umasikini utaendelea kuwa Wimbo wa Taifa.
Serikali inabidi ku-recruit watu wa consultation ambao at the end wataisadia serikali kupiga hatua

Kuanzia mtoa mada mpak aliowataja ni fans wa mafisadi , hamna jipya , wanafaa kuwa wandishi wa Riwaya za hakiki
Nimekujibu kule kwenye Uzi wako, Wewe ni tycom wa fasihi, sema mke wako mzuri Sana Mzee nilimuona halafu unawashauri vijana wasioe Acha hizo mkuuNilikuuliza swali hujanijibu Mkuu. Sherehe umemaliza?
Nimekujibu kule kwenye Uzi wako , we ni tycom wa fasihi , sema mke wako mzuri Sana Mzee nilimuona alaf unawashauri vijana wasioe Acha hzo mkuu
Ndiyo akina nani hao?Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele.