Serikali watu wenye akili Sana Kama Mshana Jr, Bams, Robert Heriel kwanini msiwatumie wakaipeleka nchi Mbele?

Mbona hao wote uliowataja wapo serikalini.Wanatumia to fake ids za JF kuonesha werevu wao ila katikautendaji wao wanaunga tela kulamba asali
 
Unataka Mshana Jr asambaze kila shina waganga wa kienyeji na uchawi wake.

🚶🚶🚶🚶
Hii sio mbaya kihivyo.

Imagine na assume ikawa hivyo kweli, na hao waganga au wachawi kazi yao ikawa ni kuweka anga la ulinzi kulinda mali za umma tu. Aani wanaloga kila anayeiba, mwizi wa mali za umma aoneshwe kwenye 'tv' na ushahidi af ashtakiwe....... au mlolongo wote huo wa nini? Ni kwamba ukifisadi automatically unapatwa jambo labda mkono unakatika! Ghafla!

Tutapiga hatua kubwa sana. Maana kinachotukwamisha sio upungufu wa rasilimali bali ubadhirifu. Mchawi anayefanya hivyo anageuka kuwa mtukufu jaji. Maana justice ni ya Mungu.
Rejea stori za Robin Hood, mwizi-hero wa ulaya.
 
Kuna mmoja hapo ni tapeli sugu, anajikutaga Mungu mtu kumbe fala fulani hivi anaejua kupangilia insha zake
Kuongea ukweli imegeuka utapeli au anaharibu Biashara zako zile mnaziita side hustle zenu!?
 
Dah watanzania tupunguze chuki na ubinafsi usio na sababu, kwani mtu akimsifia mwingne kuna kuwa na ubaya gani ? kwa jinsi akili zetu zilivyo mbovu bora kila mtu ashinde mechi zake.
 
Tuliza mnduku. Kujichekesha chekesha hakutakusaidia
 
kwa Bams sawa ila hao wengine mmh! hapana kwakweli
 
Nimependa maneno haya " Kama unafanya Jambo ambalo Lina matokeo yaleyale( mabaya ) jana, leo na kesho kwa namna ileile basi tegemea kupotea tu".
 
Hii huwa ni hatua ya mwisho kabisa kwa mwanaume kuwa papai

Uliyeweka hii post, wewe ni papai
 
Nchi nyingi Afrika hasa Tz tunaongozwa na watu wenye akili za kawaida...we fanya utafiti mdogo tu kuanzia mawaziri. Wabunge, dc's, rc's nk nk
Kakikundi fulani hivi ka wanasiasa...kelele miiiingi kichwani hamna kitu!
 
Mtu akibanwa sana kwenye kujibu hoja,anakimbilia kusema mods mpigeni ban nk [emoji1]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…