Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje inawasaidiaje Watanzania walioko Ukraine?

Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje inawasaidiaje Watanzania walioko Ukraine?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine.

Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k

Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea?

Au ndo tunaenda na Chifu Hangaya tuuze Gesi et eeehhh yaan Rais mzima wa nchi alichoona kwanza ni kuuza Gesi, ila hajawaza Watanzania waliotwama huko?

Sisikii hata Matamko yakuwataka Watanzania walioko huko kufanya Hatua kadhaa.

Hii nchi ya kijinga kweli, Viongozi Bogasi kabisa, na ndio maana akina Ben Saanane wanapotea, akina Azory wanapotea na hamna wa kujali!

Yaani kwa Viongozi wa Tanzania, Raia ni MTU wa mwisho kufikiriwa!

Nisaidieni ,au Mimi huku niliko ndo sina taarifa?

Shame on you!
 
Swali la msingi kabisa..

Wenzetu huwa wanatoa kabisa hadi namba za mawasiliano ya dharura za ofisi ya ubalozi husika kwetu vipi?
 
Swali la msingi kabisa..

Wenzetu huwa wanatoa kabisa hadi namba za mawasiliano ya dharura za ofisi ya ubalozi husika kwetu vipi?
Watu wanatuma mpaka madege

Tanzania Chifu Hangaya a natumia Dege na wajumbe zaidi ya 20 kwenda ulaya kutafuta Mikopo na kulipana maposho[emoji23]
 
a country with leadership that has no sense of purpose and direction
Watakuja na tamko..."Wizara inafanya mambo sio mpaka yatangazwe".

Wakati Chifu kuhusu Gesi ulaya , tulirushiwa laivuuuu
 
Watakuja na tamko..."Wizara inafanya mambo sio mpaka yatangazwe".

Wakati Chifu kuhusu Gesi ulaya , tulirushiwa laivuuuu
ni kawaida yao, porojo hizo lazima zitatokea tena ni baada ya nchi zingine za africa zitakapoanza kutoa raia wao ndipo nao wataibuka....tena watatoa tamko tu...na pengine kuwaambia watz walio huko wasitoke nje wakae ndani tu
 
Yaani hata leo ukitangazwa usafiri wa bure kwenda Ukraine vijana kwa maelfu wataondoka.

Kuishi Afrika ni afadhali ukaishi vitani ujue moja!
Vita ni vita muraaaa ,bora ufee kiume unapambana maisha.


Israel ilituma Ndege kufanya evacuation ya Raia wao ujue
 
Back
Top Bottom