Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje inawasaidiaje Watanzania walioko Ukraine?

Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje inawasaidiaje Watanzania walioko Ukraine?

Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine.

Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k

Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea?

Au ndo tunaenda na Chifu Hangaya tuuze Gesi et eeehhh yaan Rais mzima wa nchi alichoona kwanza ni kuuza Gesi, ila hajawaza Watanzania waliotwama huko?

Sisikii hata Matamko yakuwataka Watanzania walioko huko kufanya Hatua kadhaa.

Hii nchi ya kijinga kweli, Viongozi Bogasi kabisa, na ndio maana akina Ben Saanane wanapotea, akina Azory wanapotea na hamna wa kujali!

Yaani kwa Viongozi wa Tanzania, Raia ni MTU wa mwisho kufikiriwa!

Nisaidieni ,au Mimi huku niliko ndo sina taarifa?

Shame on you!
Katika nchi za Afrika,watz wapo wangapi?kama Kuna nchi za jirwni tu hapa Afrika hakuna mbongo hata mmoja,sembuse wawepo huko Soviet!!
Acheni utani
 
Kwani tuna ubalozi huko mkuu
Nadhani upo Kenya unao hudumia east Africa
Apparently ni kwamba hata ukiwa huko ughaibuni ni nadra sana kupata msaada kutoka ubalozi
Serekali iangalie hili kwa umakini zaid

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi ya kijinga kweli, Viongozi Bogasi kabisa, na ndio maana akina Ben Saanane wanapotea, akina Azory wanapotea na hamna wa kujali!

Yaani kwa Viongozi wa Tanzania, Raia ni MTU wa mwisho kufikiriwa!
mtu anapotea hapa hawana habari, watakuwa na ahabri akipotelea Ukraine?
This is Bongo Country!!
 
Watu wanatuma mpaka madege

Tanzania Chifu Hangaya a natumia Dege na wajumbe zaidi ya 20 kwenda ulaya kutafuta Mikopo na kulipana maposho[emoji23]
Ulitaka aende na mkokoteni. Mijitu mingine huwa sijui inatumia nini kufikiri?
 
Yaan mpaka US wanamshauri Rais wa Ukraine atoke nchin humo.

Tanzania bado inamipango [emoji23][emoji23]

Hivi mnaonaga Watanzania ni wajinga?
Ni nacho ngapi zimeshapeleka ndefu kwenda kuchukua rais wao?

Why can’t we think of consolidated efforts through your blocks such as EAC, SADC etc.

I though that is the reason we are in these political and economic blocks
 
Upo Ukraine? Umetafuta msaada ukakosa? Tuanzie hapo
Mkuu wewe labda hayajawahi kukukuta ukiwa ughaibuni ila siku utasafiri mkuu na watu kama wewe unapelekwa beach kwanza ukapate displine, xenophobic attacks hapo SA nchi yetu ilifanya nini?our Ambassador alikuwa Sandton anakunywa wine wakati wenzake wa malawi, Zambia,wapopo walipeleka mabasi na ndege kuondoa raia wao, maishani sitokuja kumsahau yule Baloo mfupi mno aliyepiga fedha nyingi za uwekezaji, Jina Lina herufi M,huyu balozi ni mnyama mno, mtanzania kapigwa risasi Capetown, msaada wake anauliza mbona hajajisajili hapa umoja house....it's crazy wanachokifanya hawa ambassadors wetu...ndio maana Kenyan ambassadors wakatake advantages za kujitangazia Mt.kilimanjaro ipo kwao...wetu wamelala na wines.
 
Ni muhimu watanzania walioko kwenye Nchi mbali mbali za Nje kujisajili kwenye ofisi za Balozi za Tanzania katika Nchi hizo ili ikitokea tatizo Balozi zijue idadi yao.
Huwezi kuwasaidia watu ambao hujui idadi yao na hujui hata kama wapo kwenye Nchi husika.
Tutakapotimiza wajibu wetu wa kujisajili ndipo tutaweza kuzitaka Ofisi hizo zitusaidie.
Ni wajibu wa kila Nchi kusaidia raia wake wakihitaji msaada.Ni wajibu pia wa raia kuwasiliana na ofisi za mabalozi baada ya kufika Nchi husika.
 
Siumeona sasa Akina Monalisa na mwanae wanavyolia??
 
Swali la msingi kabisa..

Wenzetu huwa wanatoa kabisa hadi namba za mawasiliano ya dharura za ofisi ya ubalozi husika kwetu vipi?
Tzn ni shida,US ilishatoa tahadhari mapema na kuwataka raia wake waondoke lakini Tzn kama kawaida tukawa kimya watu wanalia huko.

Ukiwasikia vijana walionaswa huko Ukraine ni vilio na hawajui cha kufanya.
 
Tetesi za vita zilianza karibu mwezi mzima uliopita.Wenye kutumia common sense waliondoka mapema.
Ubalozi wa Tanzania Sweden ambao ndio unawakilisha Ukraine walitoa taarifa ya kuwaonya raia wa Tanzania waondoke Ukraine haraka iwezekanavyo.Kulikuwa na uwezekano wa kwenda Romania au Poland huku wakifanya utaratibu wa kurudi nyumbani.
Waliamua kubaki hivyo sidhani sasa wana wa kumlaumu.Na wengi walikuwa hata hawafahamiki kuwa wapo Ukraine.
Leo anga ya Ukraine imefungwa lakini bado watu wanaondoka kwa kutumia magari.
 
Vita imeshaanza nchini Ukraine. Serikali ya Tanzania inawasaidiaje wananchi wake waliopo Ukraine?
Ninasema haya kwa sababu serikali imenyamaza kimya na wananchi wengi wamekwama Ukraine.
Je kuna ubalozi wa Tanzania nchini Ukraine?
 
Tetesi za vita zilianza karibu mwezi mzima uliopita.Wenye kutumia common sense waliondoka mapema.
Ubalozi wa Tanzania Sweden ambao ndio unawakilisha Ukraine walitoa taarifa ya kuwaonya raia wa Tanzania waondoke Ukraine haraka iwezekanavyo.Kulikuwa na uwezekano wa kwenda Romania au Poland huku wakifanya utaratibu wa kurudi nyumbani.
Waliamua kubaki hivyo sidhani sasa wana wa kumlaumu.Na wengi walikuwa hata hawafahamiki kuwa wapo Ukraine.
Leo anga ya Ukraine imefungwa lakini bado watu wanaondoka kwa kutumia magari.
Wao hawana hata magar ya kuchoropokea?
 
Hiyo Taarifa iko wapi???

Mkishakua CCM, akili mnaacha miguuni !!.
 
Back
Top Bottom