Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #41
JPM alinunua Midege... Hivi kweli Serikali kama inajali .Tzn ni shida,US ilishatoa tahadhari mapema na kuwataka raia wake waondoke lakini Tzn kama kawaida tukawa kimya watu wanalia huko.
Ukiwasikia vijana walionaswa huko Ukraine ni vilio na hawajui cha kufanya.
Walishindwa kwenda kuwaondoa Watanzania hao??
Yaan Pesa za Kutengeneza Movie ya utalii zipo, Pesa za kula Bata Dubai zipo.