Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
-
- #41
JPM alinunua Midege... Hivi kweli Serikali kama inajali .Tzn ni shida,US ilishatoa tahadhari mapema na kuwataka raia wake waondoke lakini Tzn kama kawaida tukawa kimya watu wanalia huko.
Ukiwasikia vijana walionaswa huko Ukraine ni vilio na hawajui cha kufanya.
Aya Mr LumumbaUpo Ukraine? Umetafuta msaada ukakosa? Tuanzie hapo
Vipi huo mpango wa Serikali.. Umefikia wapi??Mbona umekua too emotional wakati hujajua mpango wa serikali?
Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine.
Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k
Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea?
Au ndo tunaenda na Chifu Hangaya tuuze Gesi et eeehhh yaan Rais mzima wa nchi alichoona kwanza ni kuuza Gesi, ila hajawaza Watanzania waliotwama huko?
Sisikii hata Matamko yakuwataka Watanzania walioko huko kufanya Hatua kadhaa.
Hii nchi ya kijinga kweli, Viongozi Bogasi kabisa, na ndio maana akina Ben Saanane wanapotea, akina Azory wanapotea na hamna wa kujali!
Yaani kwa Viongozi wa Tanzania, Raia ni MTU wa mwisho kufikiriwa!
Nisaidieni ,au Mimi huku niliko ndo sina taarifa?
Shame on you!
Kwa intelligence ipi?JPM alinunua Midege... Hivi kweli Serikali kama inajali .
Walishindwa kwenda kuwaondoa Watanzania hao??
Yaan Pesa za Kutengeneza Movie ya utalii zipo, Pesa za kula Bata Dubai zipo.
Gombea uongozi MkuuVipi huo mpango wa Serikali.. Umefikia wapi??
Tekinolojia inatuonyesha kua Watanzania wametwama na wanahangaika kwelikweli.
Vipi Bwana serikali. Mpango wako unasubiri vita iishe ??
NCHI HII ILIKOSA VIONGOZI WENYE MAONO.
students stranded on the Polish border. Worst of all is the fact that the Ukrainians themselves are not allowing Africans to board the free trains that they have provided for Ukrainians and other nationals to leave the Ukraine and flee to EuropeWakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine.
Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k
Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea?
Au ndo tunaenda na Chifu Hangaya tuuze Gesi et eeehhh yaan Rais mzima wa nchi alichoona kwanza ni kuuza Gesi, ila hajawaza Watanzania waliotwama huko?
Sisikii hata Matamko yakuwataka Watanzania walioko huko kufanya Hatua kadhaa.
Hii nchi ya kijinga kweli, Viongozi Bogasi kabisa, na ndio maana akina Ben Saanane wanapotea, akina Azory wanapotea na hamna wa kujali!
Yaani kwa Viongozi wa Tanzania, Raia ni MTU wa mwisho kufikiriwa!
Nisaidieni ,au Mimi huku niliko ndo sina taarifa?
Shame on you!
Ishu si kusubiria hadi walalamike... Tunapaswa kama taifa tuwe na sera/sheria ya kumjali mtanzania yeyote atakayepatwa na janga ndani au nje ya nchi.Kuna Mtanzania gani yuko Ukraine kalalamika kukosa msaada?
labda waweke utaratibu wa rollcall kila siku asubuhi, vinginevyo ni kupoteza muda mana hawatunzi kumbukumbuNi muhimu watanzania walioko kwenye Nchi mbali mbali za Nje kujisajili kwenye ofisi za Balozi za Tanzania katika Nchi hizo ili ikitokea tatizo Balozi zijue idadi yao.
Huwezi kuwasaidia watu ambao hujui idadi yao na hujui hata kama wapo kwenye Nchi husika.
Tutakapotimiza wajibu wetu wa kujisajili ndipo tutaweza kuzitaka Ofisi hizo zitusaidie.
Ni wajibu wa kila Nchi kusaidia raia wake wakihitaji msaada.Ni wajibu pia wa raia kuwasiliana na ofisi za mabalozi baada ya kufika Nchi husika.
Ndo mmeshtuka??Upo Ukraine? Umetafuta msaada ukakosa? Tuanzie hapo
Wapo 300... Huwaoni????Kuna Mtanzania gani yuko Ukraine kalalamika kukosa msaada?
Kwahiyo mpango ndo mmeupata sasa, kutumia Dege ,kwenye nchi ambayo imefunga anga lake ??Mbona umekua too emotional wakati hujajua mpango wa serikali?
Mpango uko kwa EAC na wameshaweka nenoKwahiyo mpango ndo mmeupata sasa, kutumia Dege ,kwenye nchi ambayo imefunga anga lake ??
Kwa hakika mnamatatizo vichwani.
Ovyo kabisa, mkishakula , m naanza kufikiria kwa makalio .Mpango uko kwa EAC na wameshaweka neno
Wewe usitie na matatizo kichwani (maybe una miduduwasha kichwani) una mpango gani?