Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Sikia we mataga, mimi sio mfuasi wa hicho chama chenuKopeni na nyie basi tuone mtakuja na miradi gani? Au bagamoyo port?? Au mkukuta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikia we mataga, mimi sio mfuasi wa hicho chama chenuKopeni na nyie basi tuone mtakuja na miradi gani? Au bagamoyo port?? Au mkukuta?
UNA UNAUHAKIKA?Wakati huo mwendakuzimu si bado alikuwa hai au?
Chukua hii fact, Mbilikimo alikuwa anakusanya mapato kidogo kuliko Mkwere baada ya kuvuruga uchumi.
TRA katika historia yake haijawahi kukusanya 2 trillion au karibia na hicho kiasi.
Kama propaganda kafatilie baada ya kifo vha huyo Rais kama mapato yalishuka mpaka billion 900 kwa mweziIlikuwa propaganda, waulize watu wa TRA. Mbilikimo alikuwa anakusanya nusu ya hayo mapato
Mbilikimo alipika takwimu nyingi to compensate for his inferiority complex baada ya kuharibu uchumi imara ulioachwa na Mkwere.
Soma hapo mkuu Tanzania Standard Gauge Railway - WikipediaUNA UNAUHAKIKA?
Nakuuliza swali,aliweza vipi kulipia mishahara bila kuyumba,kulipia miradi mikubwa aliyoianzisha,elimu bure,kujenga hospitali zote mpya unazoziona leo,madawa,kuongeza mikopo ya elimu ya juu, kununua ndege keshi,na bado janga la uviko likapiga bila kutuathili sana lakini bado ameiacha nchi inatembea haiko kati ya mataifa yaliyo athilika sana kiuchumi,msitake kutuchanganya kama mmeanza kuanguka msitake kumsingizia yule mzee,hapo hatutaelewana tuna timamu tunaelewa kila kitu.
Mkuu, mwambie huyo na genge lake wote wanahusika na kutaka kuharibu legacy ya JPMUNA UNAUHAKIKA?
Nakuuliza swali,aliweza vipi kulipia mishahara bila kuyumba,kulipia miradi mikubwa aliyoianzisha,elimu bure,kujenga hospitali zote mpya unazoziona leo,madawa,kuongeza mikopo ya elimu ya juu, kununua ndege keshi,na bado janga la uviko likapiga bila kutuathili sana lakini bado ameiacha nchi inatembea haiko kati ya mataifa yaliyo athilika sana kiuchumi,msitake kutuchanganya kama mmeanza kuanguka msitake kumsingizia yule mzee,hapo hatutaelewana tuna timamu tunaelewa kila kitu.
Soma hapo uone jinsi mikopo ilivyokopwa kwa ajili ya sgr umedanganywa na ukadanganyika 😂Tanzania Standard Gauge Railway - WikipediaMkuu, mwambie huyo na genge lake wote wanahusika na kutaka kuharibu legacy ya JPM
Ni kweli alikuwa na kasoro kwenye mambo mengine lakini hili la matumizi ya fedha za serikali kwa nidhamu hakuna raisi anaempita tangu uhuru.
Hayo ninayafahamu kabla hata hayajaenda Wikipedia.Soma hapo uone jinsi mikopo ilivyokopwa Tanzania Standard Gauge Railway - Wikipedia
Kwa hiyo hata IMF aliwadanganya wakatupandisha hadhi na kuwa nchi ya uchumi wa Kati siyo?Tulidanganya mno miradi yote ni mikopo ambayo haikutangazwa mfano sgr yote ni mkopo ingia Wikipedia wameelezea kwa kina pesa zilipotoka na benki zilizokopesha tz. Tanzania Standard Gauge Railway - Wikipedia
SijuiKwa hiyo hata IMF aliwadanganya wakatupandisha hadhi na kuwa nchi ya uchumi wa Kati siyo?
What are you trying to justify?
hueleweki mkuuWazungu wanakwambia, “You can wait until cows come home” but….!
Sorry…nilikuwa namahaanisha hata rudi kukujibu!hueleweki mkuu