Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
Ndayishimye keshafanya yake! Huyu Nkurunziza alifaa kufa kabisa. Kabla ya kustaafu alipitisha sheria inayoagiza serikali kumjengea hekalu (Presidential Palace) na pia sheria inasema anatakiwa kupewa allowance ya $560,000 kwa mwaka. Rot in hell Nkurunziza!
 
Duh! Apumzike anapostahiili

Alikua bado kindaki ndaki tu
 
Mungu awavushe salama. Maana!?!?

Remembering 1994.
 
Bado malaika mkuu wa wanyonge!
 
Corona bhana wakati juzi tu alikua postive
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia


Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…