Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
Alilazimisha alipwe mahela kibao, aishi kama mfalme milele, asijue Bwana alishamuwekea tiki!Warundi wamecheleshwa kufanya uchaguzi. Kumbe lilikuwa suala la muda
R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alilazimisha alipwe mahela kibao, aishi kama mfalme milele, asijue Bwana alishamuwekea tiki!Warundi wamecheleshwa kufanya uchaguzi. Kumbe lilikuwa suala la muda
R.I.P
R.I.P Pierre!
Ule ubabe wote, uliouonyesha kipindi kile watu wakatwangana kwa ajili ya kung'ang'ania madaraka,nadhani hiyo iwe fundisho kuwa maisha siyo kujimwambafai...
Burundi mwanzoni ilidai hakuna maambukizo ya corona n.k, now imemuondoa mwamba wao!
...kuna nchi moja bara la Amufka huko, soon wanataka watangaze hakuna corona!!
Moja Ya Madicteta Walio Dharau Corona
Hahah mzee baba lile chimbo la kigamboni uliloenda kupigia yale mambo yetu lipotezee kwa muda,jifungie ndani tu muda huu hali si nzuri mzeiya.,hahahHahahaha, Corona kweli ? Ngoja niingie kuna ,tujue maana hii hali sio
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipende kutoa pole kwa warundi wote na familia ya marehemu.
Kuna dikteta mmoja hapo kwa jirani , mafi yamegonga pichuRaisi wa Burundi aliyemaliza mda wake piere nkrunzinza afariki dunia
Duh, sawa. Ila sijaelewa.Nisikitike sio nipende
Hapana ni changamoto ya kupumuaMke wake si yupo Kenya anatibiwa Corona?
Kweli mkuu,imepiga mahala husika haswaa.Corona imekuja kupunguza udhalimu Afrika bob!
Bado wa Brazil
Huyu atakuwa DJ aka mwenyekiti wa saccos hataki kuacha socisl distanceKuna mtu bado anafanya masihara na Covid 19.