Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
Covid ilikuwa ishatafuna wakubwa wengi Burundi, usiri kwa magonjwa ni upuuzi.

Tusipokuwa makini majirani wa Burundi wenye rais mbishi wajiandae.

Naona DW washahusisha na Covid 19 huku.
 
Pole nyingi sana kwa watu wa Burundi kwa msiba huu mzito

Tuendelee kuchukua tahadhari kwa sasa ni jukumu la mtu binafsi maana ukiukwaa ni juu yako vaa barakoa tembea na sanitizer wala usione haya maana uhai ukipotea haurudi
 
Tuendelee kunawa kwa maji tiririka,.na sabuni..[emoji40]
Rest in peace,.nkurunzinza..

Be humble life is not guaranteed.
 
where u got those kind of information boss???nacofaham nikwamba amelazwa hospital mkoani (karuzi) sina uhakika na hizo habari zake za kufariki!!
Taarifa ya hivi punde ya DW saa 12:00 jioni.
 
Bado yule Mtanzania fulani ambae huwa anadharau barakoa majukwaani!
Hahahah sasa hivi atakua anamaindi kichizi maana alikua amefanikiwa kutuaminisha kwamba Covid imeisha,sasa hiki kifo cha Pierre kitarudisha nyuma juhudi zake maana watu wataanza tena kusema kumbe Covid ipo.
 
Moja Ya Madicteta Walio Dharau Corona

Ili ni somo kwa Magufuli na wabishi wote waliosema corona ni ugonjwa mdogo na wanatembea bila kuvaa barakoa.

Na liwe somo kwa madicteta ametesa Watu Wengi Sana.
Swala ni subra tu mkuu kuwa na amani wao wana bunduki, mashoka na geshpolysicm ila korona haepukiki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom