Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Museveni namuombea sana afya njema kwa kuonyesha strong leadership kwenye janga hili la Corona ila yule mkaidi wa TZ namuombea corona ipige hodi mlangoni kwakeHahahah sasa hivi atakua anamaindi kichizi maana alikua amefanikiwa kutuaminisha kwamba Covid imeisha,sasa hiki kifo cha Pierre kitarudisha nyuma juhudi zake maana watu wataanza tena kusema kumbe Covid ipo.
Yule wa kwenye kijani kule vipi yeye hayupo kwa list?Bado wa Brazil
Huyu jamaa akafie huko Dikteta kubwaRais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo umetajwa kuwa chanzo cha kifo chake.
Rais Nkurunziza alizaliwa Desemba 18, 1964 na ameongoza nchi hiyo kuanzia mwaka 2005 hadi mauti ilipomfika.
Kwaheri Nkurizinza , pole Marais wa Afrika pole John Pombe magufuli rais Wa Tanzania
.Moja Ya Madicteta Walio Dharau Corona
Ili ni somo kwa Magufuli na wabishi wote waliosema corona ni ugonjwa mdogo na wanatembea bila kuvaa barakoa.
Na liwe somo kwa madicteta ametesa Watu Wengi Sana.
Kwa kosa la kumtukuza Mungu ? wewe utakuwa wa kwanza tangu nipate akiliEmbu nikuripoti.
Futa hio comment.
Unamtukuza Mungu kwa lipi?Kwa kosa la kumtukuza Mungu ? wewe utakuwa wa kwanza tangu nipate akili