Ngao Ya Imani
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 171
- 509
Corona ni kama ina macho na masikio, wakaidi huwa inawanyoosha kwelikweli.
Nakumbuka Trump alivyokuwa akiikejeli mwanzoni mwanzoni kilichofuata wote mnafahamu, Bolsonaro wa Brazil kejeli zilifanana na za Trump kinachoendelea huko kinaeleweka.
Huyu ndugu yetu yeye habari ni ileile ya ukaidi kama wa yulee mfalme juha.
Sijasema Mr. President kaondolewa na korona.