Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia.

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.

Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo umetajwa kuwa chanzo cha kifo chake.

Rais Nkurunziza alizaliwa Desemba 18, 1964 na ameongoza nchi hiyo kuanzia mwaka 2005 hadi mauti ilipomfika.

Safi sana bado yule mwenye makoti Kama sanda[emoji3]
 
Kwa hiyo nafasi yake ya mkuu wa nchi wa milele ataichukua nani?
 
Ujue sisi tunachukulia poa sanaa kuhusu corona juzi kuna mtu namfahamu kafariki kwa corona kabisa ,tukiongea tunaonekana hatuungi juhudi ,ila kiukwel ndugu zangu uhai ni wako kifo ni huzuni kwako na kwa familia yako tuchukue tahadhari wakati tukipiga kazi ili tulipe kodi ya serikari narudia ili tulipe kodi ya serikal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona hiyo. Bado Magufuli. Corona inapenda wanaojimwambafai eti haipo. Corona ipo.
 
Mbona nao wanakufa so ya nn kuuwa wenzao.Yote ni kuukimbiza upepo.
Kumwaga damu za watu kungekuwa ni Kinga hakika hakuna dikteta asingekufa.
U kill people then u die also shida yote ya nn hii.
Angalau ndugu za marehemu watafutika machozi.
Hakuna Mkubwa mbele ya kifo wote ni sawa.
 
Hii corona isingeondoka na watu waovu wote ili dunia ipumue.Lakini unachukua watu wema tu.
 
Hapa ulimwenguni ukiwa kiongoz ishi kw a akili maana dunia imebadilika sana na urgency zimebadilika sana.
 
Amesepa na 55, alafu mkewe usikute yupe under 50.

Mabaharia tuendelee kumuombea mke wake amepone.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom