Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Aisee....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutamani wajane.Amesepa na 55, alafu mkewe usikute yupe under 50.
Mabaharia tuendelee kumuombea mke wake amepone.
Nae angekuja Kenya kutibiwa sijui alikuwa hataki?Mkewe yuko huku Kenya tunamtibu corona, poleni RIP in peace ila nakumbuka alikua mkaidi kwenye suala la corona, isiwe ndio imemlamba.
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia.
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo umetajwa kuwa chanzo cha kifo chake.
Rais Nkurunziza alizaliwa Desemba 18, 1964 na ameongoza nchi hiyo kuanzia mwaka 2005 hadi mauti ilipomfika.
Mimi naona huwenda attack attack ikawa imesababishwa na kuwekewa sumu...
Kumbuka huyu bwana hakuwa kipenzi cha warundi wengi kitendo cha yeye ku step down from power ikawa ndio nafasi ya kummaliza kimyakimya...
Hii corona isingeondoka na watu waovu wote ili dunia ipumue.Lakini unachukua watu wema tu.
Kwasababu mapafu yanaposhindwa kusafirisha oxygen ya kutosha mwilini moyo unaongeza mapigo ili hiyo oxygen kidogo isambae.
Ripoti ya madaktari ni mshituko wa moyo siyo corona
Aya mambo haya magumuNdiyo wanavyo sema
Sasa akishakua mjane,ndo hitaji lake la tendo linaisha au??..Acha kutamani wajane.
Mshtuko wa moyo unamahusiano ya moja kwa moja na matatizo ya upumuaji.Ripoti ya madaktari ni mshituko wa moyo siyo corona
Walioidharau Corona cha moto watakiona. Kiongozi wa milele wa chama huyo!Nina imani Corona imekuja kupunguza udhalimu Afrika
Madikteta wote ni lzm wawe na heart attack check hata kiduku wa Korea, sababu wamejaza sumu,visasi,choyo,PhD za roho mbaya,mioyoni mwao sababu ya kumtumia shetani badala ya Mungu.Mawazoni mwao wamejaza full negative jinsi ya kuuwa upinzani,ngono,uchawi na ushirikina,hofu na mashaka,kutojiamini, extremely inner selfness yanatamani Kodi za wananchi zote ziwe zao.Yana kila kitu lkn yamekosa amani ya moyo.Mimi naona huwenda attack attack ikawa imesababishwa na kuwekewa sumu...
Kumbuka huyu bwana hakuwa kipenzi cha warundi wengi kitendo cha yeye ku step down from power ikawa ndio nafasi ya kummaliza kimyakimya...
RIP Nkurunzinza, poleni wana Burundi wote.Nini hiki? Mungu Fundi, Bora umefariki umeachia nchi kwenye taharuki ndogo tofauti ungefia madarakani.
Binadamu siku zetu ni chache Sana hapa duniani na hazina idadi maalumu.
Ndiyo ila wabongo mmkwenda deepsana etiMshtuko wa moyo unamahusiano ya moja kwa moja na matatizo ya upumuaji.