NABEEL SADIO
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 352
- 580
Safi sana bado yule mwenye makoti Kama sanda[emoji3]Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia.
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo umetajwa kuwa chanzo cha kifo chake.
Rais Nkurunziza alizaliwa Desemba 18, 1964 na ameongoza nchi hiyo kuanzia mwaka 2005 hadi mauti ilipomfika.