Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Bado yule Mtanzania fulani ambae huwa anadharau barakoa majukwaani!Kweli mkuu,imepiga mahala husika haswaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado yule Mtanzania fulani ambae huwa anadharau barakoa majukwaani!Kweli mkuu,imepiga mahala husika haswaa.
SanaCorona ni hatari sana.
Copy kwa Jiwe!!
Mwenzako akinyolewa wewe tia majiRais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo umetajwa kuwa chanzo cha kifo chake.
Rais Nkurunziza alizaliwa Desemba 18, 1964 na ameongoza nchi hiyo kuanzia mwaka 2005 hadi mauti ilipomfika.
View attachment 1473332
View attachment 1473325
View attachment 1473327
RIP Mr.President...Nini hiki? Mungu Fundi, Bora umefariki umeachia nchi kwenye taharuki ndogo tofauti ungefia madarakani.
Aliyewahi kuwa raisi wa nchi ya Burundi afariki dunia. Raisi huyo ametawala kwa zaidi ya miaka kumi Hadi mwaka huu. Pierre afariki kwa corona, taarifa kamili tunakuletea. Endelea kufuatilia.
In 2015, Nkurunziza was controversially nominated by his party for a third term in office. Supporters and opponents of Nkurunziza disagreed as to whether it was legal for him to run again, and protests followed. More than two months of anti-Nkurunziza protests, which were often violently repressed, left at least 100 dead. On 13 May 2015, a coup attempt against Nkurunziza occurred while he was out of the country; the coup leader, Godefroid Niyombare, claimed to have ousted Nkurunziza, but Nkurunziza loyalists disputed the claim. Facing resistance from Nkurunziza loyalists, the coup collapsed and forces loyal to Nkurunziza appeared to be back in full control by 15 May. Independent media was shut down and many opponents fled, joining an exodus of more than 400,000 Burundians.[1]
Amidst an opposition boycott, Nkurunziza was reelected to a third term in the July 2015 presidential election. On 7 June 2018, Nkurunziza announced that he would not seek another term when his current term ends in 2020.[2]
Fuata link hi Historia fupi ya Pierre Nkurunzinza
Pierre Nkurunziza | Biography & Facts
Kuna mtu bado anafanya masihara na Covid 19.
Kabisa Mkuu, ila Mkuu tusubiri tuoneRIP Mr.President...
Angalau Rais Mteule ameshapatikana bado tu kuapishwa hivyo hii itasaidia kupunguza mvutano.
Bado yule Mtanzania fulani ambae huwa anadharau barakoa majukwaani!
Unataka aanzie wapi ?Mkuu kwa nini unaanzia mbali?
Umekosea jukwaa kamandaRaisi wa Burundi Pierre Nkurunzinza ameaga dunia leo kwa mshtuko wa moyo.
Unataka aanzie wapi ?
Dah!...habari mbaya Sana hii mkuu maadam Rais Mteule alishapatikana huenda akaapishwa haraka ili kusitokee mvutano.Hahahaha, Mkuu namalizia chupa yangu ,narudi chimbo,hii habari sio nzuri kabisa kwa ustawi wa Burundi na GL
Sent using Jamii Forums mobile app