Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Wanabodi, kama ilivyokuwa katika awamu ya mwisho ya Kikwete, vilianzishwa vikundi na vyama vya ushirika na kukopeshwa mamilioni ya shilingi bila riba. Baada ya utawala wa Magufuli kuingia, vikundi na vyama hivyo vya ushirika vikafutiliwa mbali na kutokomea na kodi zetu.
Mchezo huo ni kama umerejea tena, Serikali ya CCM IMETUTAPELI wavuvi pesa za mradi wa IFAD, yale mabilioni ya Samia kwaajili ya kukopesha wavuvi YAMELIWA NA WAKUBWA, HAKUNA PESA YEYOTE ILIYOLIPWA HADI SASA.
Tusaidieni kupaaza sauti ili WALAFI hawa waweze kuziachia