Serikali ya CCM inatuibia Watanzania chini ya uongozi wa Rais Samia. Hili daraja ni Bil 7?

Daraja ni kama ice berg. Kile unachokiona ni 20% na kile kisichoonekana ni 80%.
Ndio maana hata yaje mafuriko gani daraja huwa halichukuliwi na maji kwa vile sehemu kubwa ya daraja huwa submerged chini ya ardhi.


 
Hili daraja mbona fupi hivi. Kwa urefu huo ikinyesha mvua kubwa si maji yanapita kingo kiasi cha kuzuia magari yanavotaka kuvuka yasiweze ingia hasa hapa upande wa kushoto
Umejuaje kama hayo maji sio ya hiyo mvua kubwa?
 
Umejuaje kama hayo maji sio ya hiyo mvua kubwa?
Huo ndio mwisho wa mvua kubwa? Kwamba hakuna inayoweza zidi hapo au kutokea mafuriko. Unavyoona force ya maji, erosion, water clarity na depth unaona ni ya mvua kubwa hayo.
Hapo ni Morogoro, tafuta kama ni msimu wa mvua na ujue tributaries za mto kama zinatoka maeneo yenye mvua.

Mimi naona hilo daraja ni fupi hasa kulia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…