Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HahaaaMei mosi sasa imefanywa kuwa mkutano wa CCM, hakuna la maana lolote linalohusu wafanyakazi
Kwa upinzani gani uliopo nchini wa kuchukua nchi?Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola.
Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza.
Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba Uchaguzi ujao.
Kama mmeona hatuna thamani basi hata kura zetu hamtaziona.
Wana LumumbaKwa upinzani gani uliopo nchini wa kuchukua nchi?
Unahisi haikuwa Meimosi?Mbona hotuba ya Mgeni Rasmi hayakuhusiana na Sherehe ya Mei Mosi?.
Wamefundishwa mchezo mchafu uchaguzi wa 2020 wamegundua kuwa wanaweza kushinda uchaguzi hata bila ya kuchaguliwa ndio maana unaona mei mosi ya kuelekea uchaguzi mkuu lakini hawana hata wasiwasi, hakuna ajira mpya, hakuna nyongeza ya mishahara wala kupanda madarajaKwa upinzani gani uliopo nchini wa kuchukua nchi?
Wanategemea nini?Ccm ingekua inategemea kura za wananchi kubaki madarakani wangewajibika, tatizo hawategemei kura zenu
Hii nchi tumerudi nyuma sanaWamefundishwa mchezo mchafu uchaguzi wa 2020 wamegundua kuwa wanaweza kushinda uchaguzi hata bila ya kuchaguliwa ndio maana unaona mei mosi ya kuelekea uchaguzi mkuu lakini hawana hata wasiwasi, hakuna ajira mpya, hakuna nyongeza ya mishahara wala kupanda madaraja
Miaka ya nyuma mei mosi kama hizi za kuelekea uchaguzi huwa ni neema
Mei mosi sasa imefanywa kuwa mkutano wa CCM, hakuna la maana lolote linalohusu wafanyakazi
FactCcm ingekua inategemea kura za wananchi kubaki madarakani wangewajibika, tatizo hawategemei kura zenu
WAVUTA BANGI WAANOJIITA WADUDU WAMETUMIKA KUPOTEZA NA KUWAONDOA WAFANYAKAZI KWENYE HOJA ZAO ZA MAANA KAMA HILI LA KIKOKOTOO.....Mei mosi sasa imefanywa kuwa mkutano wa CCM, hakuna la maana lolote linalohusu wafanyakazi
Ccm wanawaona Watanzania kama yama ya nyongezaSasa watu ndo wanaanza kuona UMUHIMU WA MAANDAMONO YA CHADEMA
Wadudu fake waleWAVUTA BANGI WAANOJIITA WADUDU WAMETUMIKA KUPOTEZA NA KUWAONDOA WAFANYAKAZI KWENYE HOJA ZAO ZA MAANA KAMA HILI LA KIKOKOTOO.....
Wakurugenzi + wanajeshi + polisi + wasimamizi wasiojijambua hasa walimuWanategemea nini?
Halafu yule jamaa akihutubia huwa simwelewi anaongea kitu gani. Utamwona anaongea huku anatabasamu Kiseminari, bila point yoyote ya maana kwenye hotuba yake.Mbona hotuba ya Mgeni Rasmi hayakuhusiana na Sherehe ya Mei Mosi?.