Pre GE2025 Serikali ya CCM Mei Mosi mmejifanya wajanja, tutawanyoosha Uchaguzi Mwakani

Pre GE2025 Serikali ya CCM Mei Mosi mmejifanya wajanja, tutawanyoosha Uchaguzi Mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.

Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola.

Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza.

Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba Uchaguzi ujao.

Kama mmeona hatuna thamani basi hata kura zetu hamtaziona.
Mnajifariji tu.
  • kuna mei mos 1 kabla ya uchaguzi.
  • hata malipo wachagua watatangazwa washindi.
 
Ni lini CCM ilipita kwa kura ya watumishi wa umma?
Mtanzania anayedhani sanduku la kupigia kura litaamua hatma yake hajitambui bado
 
Back
Top Bottom