SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 509
- 1,391
Wafanyakazi wa Kenya wanapambana na Serikali yao live,nyie mmekuwa wajinga sana. Nchi imejaaa wajingaKila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola.
Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza.
Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba Uchaguzi ujao.
Kama mmeona hatuna thamani basi hata kura zetu hamtaziona.