Pre GE2025 Serikali ya CCM Mei Mosi mmejifanya wajanja, tutawanyoosha Uchaguzi Mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.

Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola.

Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza.

Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba Uchaguzi ujao.

Kama mmeona hatuna thamani basi hata kura zetu hamtaziona.
nawasihi watumishi wote katika idara, taasisi na kada mbalimbali nchini, na katika umoja wao waendelee kuchapa kazi kwa biidii, maarifa na weledi ili kusidi malengo ya maeneo ya kazi yawezekufikiwa kikamilifi samabamaba uboreshaji wa mazingira bora ya kazi, vifaa, usalama na maslahi yao kwa ujumla :whatBlink:

uzaelendo, uaminifu na utii kwa mamlaka iwe ndio dira na uelekeo katika utumishi wenu. Daima upotoshaji wa aina yoyote upuuzwe tu kama kawaida na tusonge mbele kuwatumikia waTanzanaia...
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Tumeshsmchsngia hela za form.
 
nawasihi watumishi wote katika idara, taasisi na kada mbalimbali nchini, na katika umoja wao waendelee kuchapa kazi kwa biidii, maarifa na weledi ili kusidi malengo ya maeneo ya kazi yawezekufikiwa kikamilifi samabamaba uboreshaji wa mazingira bora ya kazi, vifaa, usalama na maslahi yao kwa ujumla :whatBlink:

uzaelendo, uaminifu na utii kwa mamlaka iwe ndio dira na uelekeo katika utumishi wenu. Daima upotoshaji wa aina yoyote upuuzwe tu kama kawaida na tusonge mbele kuwatumikia waTanzanaia...
Danganya toto
 
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.

Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola.

Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza.

Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba Uchaguzi ujao.

Kama mmeona hatuna thamani basi hata kura zetu hamtaziona.

Uchaguzi ujao , kwani mtahesabu nyinyi kura ??
 
Kuongezewa mshahara siyo lazima utangaziwe wewe subiri Julai au unataka wafanyabiashara tuanze kupandisha bei ya bidhaa?
 
Kumradhi! Kuna changamoto kidogo

Kumradhi Numbisa! Kichwa cha habari kimekuwa kifupi sana. Angalau kiwe na herufi 30 na kisizidi 200. Umeandika herufi 25
 
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.

Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola.

Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza.

Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba Uchaguzi ujao.

Kama mmeona hatuna thamani basi hata kura zetu hamtaziona.
Tulieni watumishi bado kuna mei mosi tena mwakani jambo lenu tutaliweka sawa
 
nawasihi watumishi wote katika idara, taasisi na kada mbalimbali nchini, na katika umoja wao waendelee kuchapa kazi kwa biidii, maarifa na weledi ili kusidi malengo ya maeneo ya kazi yawezekufikiwa kikamilifi samabamaba uboreshaji wa mazingira bora ya kazi, vifaa, usalama na maslahi yao kwa ujumla :whatBlink:

uzaelendo, uaminifu na utii kwa mamlaka iwe ndio dira na uelekeo katika utumishi wenu. Daima upotoshaji wa aina yoyote upuuzwe tu kama kawaida na tusonge mbele kuwatumikia waTanzanaia...
acha kukurupuka andika vizuri kwani kuna vita, au mkononi unaendelea kulamba mchuzi wa mei mosi
 
Kitendo cha kua na maamuz ya kwenda kupiga kura nimaamuzi tosha ya kuipa haki serikali na Ccm kwa ujumla. Mla huliwa wanasema wahenga ila sikila mla ataliwa wengine hubaki walaji. Tanzania niwakati wako wakujitambua zinduka uliko lalia. Mungu ibariki Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom