Pre GE2025 Serikali ya CCM Mei Mosi mmejifanya wajanja, tutawanyoosha Uchaguzi Mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wafanyakazi wa Kenya wanapambana na Serikali yao live,nyie mmekuwa wajinga sana. Nchi imejaaa wajinga
 
Walimu Walitoa Michango Ya Fomu Moja Ya Rais Ndani Ya CCM Ya Kijani

Ila Leo Hii Aibu Sana, Janjaro Ndiyo Amewatumbwiza Na Hao Wadudu
 
Tumewaona kama bamia ya nyongez, siyo nyama.
 
Niacheni Leo niwaite makondoo....ndani ya masala 24 mtakua mmeshasahau kila kitu acha 2025
 
Mmeletewa wadudu
Mmeletewa wasanii
😄😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂
😄 🤣 😂

Ova
 
Ndo muisome namba na kuamka toka usingizini
 
Moja, wafanyakazi wa serikali hawafiki milioni 2 kati ya wapiga kura milioni 25. Hivyo kitisho chenu ni hewa.

Mbili, ccm haitegemei kura ili kushinda uchaguzi, inategemea dola na tume tu.
 
Hivi kitakwimu mpo wangapi, unaweza kunipa number approximately ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…