tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
- Thread starter
- #21
Jomo Kenyatta aliwahi kumuambia Nyerere kuwa yeye anaongoza kwa raha kwa kuwa anawaongoza maiti. Ujinga kama huu hauwezi kufanyika Kenya nchi ikakalika.Kuna shule moja nilienda jijini mwanza nakwambia watoto ni kama wapo vitani.darasa limejaa mpaka ubaoni na mlangoni hakuna njia.aisee CCM nao watakuwa wanakaa wanatushangaa saaana wanavyotufanyia tunakaa kimya.