Serikali ya CCM wanaua elimu; wanabadili mfumo wa elimu bila walimu

Kuna shule moja nilienda jijini mwanza nakwambia watoto ni kama wapo vitani.darasa limejaa mpaka ubaoni na mlangoni hakuna njia.aisee CCM nao watakuwa wanakaa wanatushangaa saaana wanavyotufanyia tunakaa kimya.
Jomo Kenyatta aliwahi kumuambia Nyerere kuwa yeye anaongoza kwa raha kwa kuwa anawaongoza maiti. Ujinga kama huu hauwezi kufanyika Kenya nchi ikakalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…