Serikali ya China inafanikiwa vipi kufanya biashara huku Tanzania tukiaminishwa Serikali haiwezi chochote(Biashara na huduma)

Huku ambako mwizi anaulizwa kama hajatosheka alafu pia ni sehemu pekee bunge na serikali vinabariki wizi kwa kuto wachukulia hatua zozote wezi wanao tajwa na CAG Kila mwaka, alafu unadhani kuna faida yoyote watatengeneza hawa akina maalim madelu na mboga mboga 🤔🤔🤔
 
Swali mezani:
Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza?

In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common in China's strategic sectors, such as energy, telecommunications, and banking.

Over 150,000 SOEs dominate China's economy, 98 of these SOEs are owned by the central government. A government entity called the “State-owned Assets Supervision and Administration Commission” is in charge of these companies. Other SOEs are managed by entities similar to the SASAC at the provincial and local levels of government.
Baada ya kumfukuza mkoloni, alirudi kwao kujipanga upya na kuja kivingine kwa tunachokiita ukoloni mamboleo.

Kutimiza lengo lao, walikuja na sera ya privatisation, wakihubiri serikali ijitoe kwenye shughuli za kibiashara kwa kigezo kwamba sio efficient na kureplace shughuli izo na kampuni zao binafsi zenye maslahi na serikali zao.

Ndicho tunachokiona sasa. Makampuni karibu yote makubwa hapa nchini yanaasili ya nchi za watu. Hata zile chache za kina ambazo kidogo za wazawa, bado zina mikopo mikubwa toka kwenye banks za hao mabeberu. So wanaendelea kuingiza faida inform of interests.

China walishashtukia mbinu hii kitambo. Wameamua kuachana sekta binafsi kwenye sekta muhimu za uchumi. Na ndo ivyo wanapiga bao.
 
Huku ambako mwizi anaulizwa kama hajatosheka alafu pia ni sehemu pekee bunge na serikali vinabariki wizi kwa kuto wachukulia hatua zozote wezi wanao tajwa na CAG Kila mwaka, alafu unadhani kuna faida yoyote watatengeneza hawa akina maalim madelu na mboga mboga 🤔🤔🤔
Ni mwendo wa dili . Sasa tufanye nini kuondoa hilo ?
 
Serikali ya China inafanikiwa vipi kufanya biashara huku Tanzania tukiaminishwa Serikali haiwezi chochote(Biashara na huduma)​

Siri ya China ni uthubutu wa kutoa adhabu kali kwa wezi wa Mali ya umma (serikali)..
Huko China mwizi akigundulika ananyongwa upesi, wakati kwa Tz mwizi anahamishiwa kwingine tu
 
Swali mezani:
Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza?

In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common in China's strategic sectors, such as energy, telecommunications, and banking.

Over 150,000 SOEs dominate China's economy, 98 of these SOEs are owned by the central government. A government entity called the “State-owned Assets Supervision and Administration Commission” is in charge of these companies. Other SOEs are managed by entities similar to the SASAC at the provincial and local levels of government.
China. Viwango vya ufisadi ni vidogo mno ukilinganisha na viwango vya ufisadi huku Madongo kuinama, hivyo lazima utofautishe shetani na malaika 😂.
 
Baada ya kumfukuza mkoloni, alirudi kwao kujianga na kuja kivingine kwa tunachokiita ukoloni mamboleo. Kutimiza lengo lao, walikuja na sera ya privatisation, wakihubiri serikali ijitoe kwenye shughuli za kibiashara kwa kigezo kwamba sio efficient na kureplace shughuli izo na kampuni zao binafsi zenye maslahi na serikali zao.

Ndicho tunachokiona sasa.

China walishashtukia mbinu hii kitambo. Wameamua kuachana sekta binafsi kwenye sekta muhimu za uchumi. Na ndo ivyo wanapiga bao.
Yes, maeneo muhimu ya uchumi wa China yana hodhiwa na serikali moja kwa moja makampuni binafsi yanafanya biashara zengine licha ya kuwa napo serikali ina nguvu pia huko hasa ya kisera, kifedha na maamuzi.
 
China. Viwango vya ufisadi ni vidogo mno ukilinganisha na viwango vya ufisadi huku Madongo kuinama, hivyo lazima utofautishe shetani na malaika 😂.
Ila tunapaswa kufahamu kuwa ufisadi upo duniani kote hata huko uchina upo ila Je, mbinu gani inatumika kukabiliana nao ? Hapa ndipo ulipo utofauti baina yetu na wao.
 
Back
Top Bottom