Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hao jamaa hawataki upumbavu kabisa ...Mpaka accounts zote zinafilisika
Huku bongo wizi tupu na kufanya umalaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao jamaa hawataki upumbavu kabisa ...Mpaka accounts zote zinafilisika
Au sioNipeni urais
Na sisi tuanze kuua hovyo. Je, watu watakubaliana na hilo ?China iliua na bado inaua wapumbavu.
So tupambane tuYes tunaweza
Bongo tunapenda vitu vya kijinga balaah kulivyo vya msingiHao jama hawataki upumbavu kabisa ...
Huku bongo wizi tupu na kufanya umalaya.
Baada ya kumfukuza mkoloni, alirudi kwao kujipanga upya na kuja kivingine kwa tunachokiita ukoloni mamboleo.Swali mezani:
Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza?
In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common in China's strategic sectors, such as energy, telecommunications, and banking.
Over 150,000 SOEs dominate China's economy, 98 of these SOEs are owned by the central government. A government entity called the “State-owned Assets Supervision and Administration Commission” is in charge of these companies. Other SOEs are managed by entities similar to the SASAC at the provincial and local levels of government.
Kwa sababu ya uwajibikajiUnajua kwa nini ccm Wana kwepa katiba.
Ni mwendo wa dili . Sasa tufanye nini kuondoa hilo ?Huku ambako mwizi anaulizwa kama hajatosheka alafu pia ni sehemu pekee bunge na serikali vinabariki wizi kwa kuto wachukulia hatua zozote wezi wanao tajwa na CAG Kila mwaka, alafu unadhani kuna faida yoyote watatengeneza hawa akina maalim madelu na mboga mboga 🤔🤔🤔
Siri ya China ni uthubutu wa kutoa adhabu kali kwa wezi wa Mali ya umma (serikali)..Serikali ya China inafanikiwa vipi kufanya biashara huku Tanzania tukiaminishwa Serikali haiwezi chochote(Biashara na huduma)
Hilo ndilo tatizo letu hatupendi kuupokea ukweli unao tuumizaTatizo tunaendesha kuishabik tukiongra ukweli hapatakalika hapa tunaishi kiunafik sana
China. Viwango vya ufisadi ni vidogo mno ukilinganisha na viwango vya ufisadi huku Madongo kuinama, hivyo lazima utofautishe shetani na malaika 😂.Swali mezani:
Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza?
In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common in China's strategic sectors, such as energy, telecommunications, and banking.
Over 150,000 SOEs dominate China's economy, 98 of these SOEs are owned by the central government. A government entity called the “State-owned Assets Supervision and Administration Commission” is in charge of these companies. Other SOEs are managed by entities similar to the SASAC at the provincial and local levels of government.
Na sisi tuanze kuua hovyo. Je, watu watakubaliana na hilo ?
Yes, maeneo muhimu ya uchumi wa China yana hodhiwa na serikali moja kwa moja makampuni binafsi yanafanya biashara zengine licha ya kuwa napo serikali ina nguvu pia huko hasa ya kisera, kifedha na maamuzi.Baada ya kumfukuza mkoloni, alirudi kwao kujianga na kuja kivingine kwa tunachokiita ukoloni mamboleo. Kutimiza lengo lao, walikuja na sera ya privatisation, wakihubiri serikali ijitoe kwenye shughuli za kibiashara kwa kigezo kwamba sio efficient na kureplace shughuli izo na kampuni zao binafsi zenye maslahi na serikali zao.
Ndicho tunachokiona sasa.
China walishashtukia mbinu hii kitambo. Wameamua kuachana sekta binafsi kwenye sekta muhimu za uchumi. Na ndo ivyo wanapiga bao.
Wezi wakubwa wa bongo wana neemeka wakati wezi wa kuku wanapitia majuto nchi ya ajabu sana hiiSiri ya China ni uthubutu wa kutoa adhabu kali kwa wezi wa Mali ya umma (serikali)..
Huko China mwizi akigundulika ananyongwa upesi, wakati kwa Tz mwizi anahamishiwa kwingine tu
Ila tunapaswa kufahamu kuwa ufisadi upo duniani kote hata huko uchina upo ila Je, mbinu gani inatumika kukabiliana nao ? Hapa ndipo ulipo utofauti baina yetu na wao.China. Viwango vya ufisadi ni vidogo mno ukilinganisha na viwango vya ufisadi huku Madongo kuinama, hivyo lazima utofautishe shetani na malaika 😂.
1. Katiba mpya iliyo bora ambayo itatoa muongozo sahihi wapi tunaelekea na hatua gani zichukuliwe kwa yule ambae anazikiuka.Tufanyeje sasa ili tufike huko walipo wengine mfano kama huo uchina ?
Sawa, ila hiyo mbinu sidhani Watanzania walivyo wataikubali. Ila acha tuoneNimezungumzia kuua wapumbavu sio kuuaua hovyohovyo.