Serikali ya Ghana yamuiga Rais Samia kuanzisha Tozo ya Miamala. Wabunge watwangana Makonde

Rubbish, hangaya ana maono gani kwa mfano. Amalizie muda wake atoke!.
 
Rubbish, hangaya ana maono gani kwa mfano. Amalizie muda wake atoke!.
Mwenye maono ni huyu aliepuuzwa kwenye mkutano wake wa uchaguzi mkuu. Inashangaza mpaka leo 2021, kijana bado unakubali kudanganywa na kugeuzwa daraja la kuvukia na kufikia mafanikio ya kupiga hela za ruzuku ya chama, na mbaya zaidi kushikiwa akili na wanasiasa wabovu na wapigania matumbo yao kama hawa. Kijana shtuka, usiwe mfata upepo wa wale wanaofaidika na mfumo mbovu na mbaya wa viongozi wa upinzani.

 
upumbavu mtupu, tozo zimekuja baada ya hela kuisha hazina na aliyezimaliza ni huyohuyo ccm! Pesa za wastaafu zimekombwa zote hazijulikani zimeenda wapi na waliochukua ni hao hao CCM! Tozo sio za kusifia na hazikupaswa kuwepo! Tozo zinawapa maisha magumu zaidi watu! Tozo zimekuja ili serikali ya CCM ipate pesa ilizofuja kwa haraka
 
Ukiona mfanyabiashara na genge lake wanang'ang'ania kitu, basi ujue wana masilahi nacho. Jamaa wamekaa madarakani kwa zaidi ya miaka kumi na tano wakitafuna ruzuku ya chama, mamilioni ya wafadhili wa ndani na nje, mamilioni ya Sabodo aliyokipa chama kijenge ofisi ya kitaifa, mamilioni ya wabunge waliokuwa wakikatwa kila mwezi kwa muda wa miaka mitano, kukiuzia chama magari chakavu kwa mabilioni ya shilingi, kutafuna hela za michango ya uchaguzi nk. Hivi mwenyekiti wa aina hii akiingia ikulu na genge lake hazina yetu itasalimika kweli? Ebu fungua akili yako ujiulize swali hili, na sio kukubali wajanja wachache wakutumie ww kama kichaka chao cha kupigia propaganda isiyokuwa na faida na maisha yako huku wao wakiingiza mabilioni kupitia siasa uchwara zisizo na kichwa wala miguu.





 
hiz tozo nizamuda mrefu hata huko Congo,Brazil , Cameroon n.k,zilishaanza muda tu,Ghana ndo hivyo jamaa wamegomea,sema tz Ina watu wastaarabu na wasikivu Sana aise,na hiki ndo kitu kinachoifanya tz ,iwe ni nchi ya kitofauti na nchi nyngne za Africa.
 
Baada ya kuwasilisha hoja ya tozo za miamala bungeni wabunge wa Ghana bila kujali vyama vyao walizipiga ndani ya ukumbi wa bunge, hii ni kutokana na picha ya video kwenye twitter, hivyo mjadala umeahirishwa mpaka January 2022.
 
,,,,,,,xxxxxxshyyy,,, Hovyo.
 
Mpenda mazuri aliyeharibu maelfu ya ajira binafsi ndogo ndogo?
 
Mh kaka milion 2000 ni sawa na bilion ngapi?
punguza ujinga
 
Kaka embu muache mpk hata mm namcheka.
Anashindwa convertion ndogo tu ya maelfu ya milion kuigeuxa bilioni.
Halafu alivyo hana aibu anabishana kabisa.
DAH TANZANIA TUNA SAFARI NDEFU YA KWENDA KM WASOMI NDIO KM HUYU JAMAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…