Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Kuna miradi mingi ambayo imeshafanyika nusu. Hiyo nusu iliyosalia ni lazima imalizike.Baada ya Mwendazake kuingiza nchi kwenye mzigo wa madeni,Samia hakua na options zaidi ya tozo ..
Ghana nayo iko hoi kwa madeni kwa hiyo lazima walipe.Hali iko hivi 👇
View attachment 2052739
Tatizo la mtu mweusi kufa hataki lakini anataka jina lake liwe miongoni mwa yale yatakayokuwemo mbinguni!.
Haya maisha tunayoyaona ni mzigo hao wazungu wameshayazoea siku nyingi tu.