Serikali ya Ghana yamuiga Rais Samia kuanzisha Tozo ya Miamala. Wabunge watwangana Makonde

Serikali ya Ghana yamuiga Rais Samia kuanzisha Tozo ya Miamala. Wabunge watwangana Makonde

Kama sio ubunifu basi hakuna Taifa lingeiga
Kuiga ni upumbavu wao tu hao walioiga, kodi inatakiwa iwe imposed katika maeneo na kiwango ambacho hakiwi sensitive kiasi cha kukera! Kodi iko kwenye kila bidhaa ununuayo ila huwezi sikia mtu analalamikia kodi ya pipi au sigara! Na katika kitu kinachoingiza kodi nchini miaka yote ilikuwa ni sigara na bia.

Hizo tozo ni kero tu na ni vile tuna polisi form 4 failures ambao matumizi ya akili, busara na weledi kwao ni 0.5% ila mabavu na kukomoana ni 99.5% wanaweza kukufyatulia risasi wakakudhuru na kulindwa na network yao ya maaskari! Sehem yenye unafuu walau jf hutarushiwa risasi
 
Nabii hakubaliki kwao. Tuna raisi bora, mwenye maono, mpenda maendeleo na mtatuaji wa kero na shida za Watanzania. Ila kuna kundi la wavuta bangi, wanywa gongo na viloba wanajaribu kumchafua, kisa tu mshika akili wao kawekwa ndani.
Bora wangekuwa ni wavuta bangi! Ilo kundi limemezwa na u Kabila na chuki tu dhidi ya Samia
 
Ikiwa nchi ina madeni makubwa imekuwaje tena Samia ndani ya muda mfupi kakopa sana, tena kwa miezi 7 kakopa nusu ya alichokopa jiwe
Nini hicho alichokopa Sana?

Tatizo mwendazake alikopa mikopo ya kipumbavu yenye riba kubwa na onayoivw kwa mda mfupi,ndio hiyo imeitumbukiza nchi kwenye mzigo wa madeni walioyotaga MKapa na JK
 
Leta ushahidi kuwa kakopa sana ndani ya miezi 6
Najua englisha hujui, Ila tafuta mtu akusomee
Trillion 8 ndani ya miezi 7
Screenshot_20211221-221010_1.jpg
Screenshot_20211221-221018_1.jpg
 
Nini hicho alichokopa Sana?

Tatizo mwendazake alikopa mikopo ya kipumbavu yenye riba kubwa na onayoivw kwa mda mfupi,ndio hiyo imeitumbukiza nchi kwenye mzigo wa madeni walioyotaga MKapa na JK
Kakopa trillion 8 ndani ya miezi 7.
Alafu pia huko CCM mnashindana kukopa? Maana naona speed zenu sio za kitoto
 
Kakopa trillion 8 ndani ya miezi 7.
Alafu pia huko CCM mnashindana kukopa? Maana naona speed zenu sio za kitoto
Anatakiwa Kukopa til.10 kwa mujibu wa bajeti ya serikali ko hapo bado til.2.

Tatizo sio Kukopa bali ni je huo mkopo una masharti gani? Kukopa kwa masharti ya kibiashara na nje ya ukomo wa bajeti kama Mwendazake sio sawa ni hasara ,pia mkopo huo huo unatumika Ku service madeni ya nyuma yaliyoiva.
 
Back
Top Bottom