Serikali ya India imezilazimisha kampuni za simu kuinstall Sanchar Saathi app kwa ajili ya kutrack wananchi, inatufaa pia hii bongo

kuna mda mkifungwaga ni haki yenu, rostam amenunua kampuni 1 ya simu acha kuleta taharuki
Tumia akili ...tatizo lako ni akili ...tumia akili.utajua kuwa makampuni yote yapo chini ya mtandao (jina Rostam lisikutatize )
ROSTAM AZIZI =WANA MTANDAO
...ila pia Rostam azizi yeye kama yeye anamiliki mkampuni zaidi ya 2 za simu na hizo kampuni zilizo baki ni wao wanazimiliki kwa mlango wa nyuma .
 
Ni kichaa peke yake atakaa kukuskiliza ujinga unaongea, alafu sisi sio kama mnavofanya kazi za fununu, kwa kifupi unaongea ujinga na hakuna mwenye akili timamu atakaa kuskiliza taarifa kama hizi zisizo na ushahidi, USELESS
 
Ni kichaa peke yake atakaa kukuskiliza ujinga unaongea, alafu sisi sio kama mnavofanya kazi za fununu, kwa kifupi unaongea ujinga na hakuna mwenye akili timamu atakaa kuskiliza taarifa kama hizi zisizo na ushahidi, USELESS
WEWE NI ANITHI WA AKILI ....ROSTAM AZIZI ANAMILIKI MAKAMPUNI YOTE YA SIMU TZ ...SHIKA HAYA MANENO YANGU ...
 
Ina maana hata alipo kuwa ananunua hayo makampuni ulikuwa umelala nenda hata GPT
Leta ushahidi, mimala ya siri, brela.. kama huna izo story kapige kijiweni
 
Kama umekosa evidence basi kapige izo story vijiweni sio uku
Wewe kahaba evidence ya nini ? Kwani ni jambo la siri kuwa ROSTAM AZIZI anamiliki makampuni zaidi ya mawili ya simu...ingekuwa ni siri basi hoja yako ya evidence ingekuwa na msingi
 
Hizo hata mafisadi ya ccm yataziogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…