Serikali ya Iran yafunga kiwanda chake cha kutengeneza magari kilichojengwa Syria miaka 20 iliyopita, sababu za kiuchumi na mahusiano mabaya zatajwa

Mbona hizo nchi za Magharibi mpaka sasa zimeshindwa kuusabaratisha uchumi wa Urusi pamoja na kuiwekea vikwazo maelfu ya vikwazo?

Kwa sasa nchi za Magharibi zimesha poteza udhibiti wa uchumi wa dunia hilo liko wazi kabisa japo huu ukweli hamtaki kuusikia.
Mpaka mwaka 1995 %70 ya uchumi wa dunia nzima ulikuwa una milikiwa na nchi za Magharibi lakini mpaka sasa tunavyo ongea nchi za Magharibi zinamiliki %32 tu ya uchumi wa dunia.
 
Najichanganya wapi!?
Yani ufananishe tenda na uuzaji mafuta kwa mlango wa nyuma!?
Mbona unalazimisha ku justify hoja zako we jamaa!?
Kwahiyo unataka kusema Kila kampuni ni lazima itoe 10% na makampuni yote yanaridhika na hilo!?

Kuwa muelewa umeambiwa subiri nikikutana Tena na huyo mzee nimuulize,sio kila mtu ana muda hovyo hovyo kama wewe.
 
Iran ndio nchi pekee yenye demokrasia komavo hapo mido ist hata na baadhi ya mataifa ya ulaya na America ikiwemo yu es ei
 
Sijasema ashindane na Toyota kaka ila nachosemea na yeye aingie katika game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…