ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Ukienda Ulaya hata Asia nchi nyingi, Machinga wanakuwa na soko lao maalumu kubwa, na pia wenye maduka wanabaki madukani, Sasa inakuaje Machinga hataki fremu anataka akakae barabarani Tena mtaa wenye maduka, njia hazipitiki hili halikubaliki. Serikali ya jiji la Dodoma nawaasa muwaondoe Hawa Machinga wanaoziba barabara katika mji huu ambao Sasa unapata wageni Hadi kutoka Ulaya.