joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tatizo Jubilee wanaogopa kuonekana wanamuiga Magufuli MTU ambaye walishamuona kama ni mshindani wao MKUU.Hizi ni dili za familia ya kenyatta kunyakua mali ya wakenya kwa bei rahisi. Kama shida ni ufisadi kwa idara za serikali kwanini uhuru asichukue hatua kama magufuli?
Lakini ukweli ni huo ulioandikwa, sababu za kuuza sio rushwa wala ufisadi, lengo ni kupata pesa kufidia bajeti ya Taifa. Haiwezikani Kenya kuweka bajeti ya $30B karibia sawa na bajeti ya Nigeria, kwa vyanzo vipi hivyo vya mapato walivyonavyo Kenya?