Serikali ya Kenya kuuza Makampuni 26 ya kiserikali ili kufidia sehemu ya Bajeti na kutekeleza miradi

Hizi ni dili za familia ya kenyatta kunyakua mali ya wakenya kwa bei rahisi. Kama shida ni ufisadi kwa idara za serikali kwanini uhuru asichukue hatua kama magufuli?
Tatizo Jubilee wanaogopa kuonekana wanamuiga Magufuli MTU ambaye walishamuona kama ni mshindani wao MKUU.

Lakini ukweli ni huo ulioandikwa, sababu za kuuza sio rushwa wala ufisadi, lengo ni kupata pesa kufidia bajeti ya Taifa. Haiwezikani Kenya kuweka bajeti ya $30B karibia sawa na bajeti ya Nigeria, kwa vyanzo vipi hivyo vya mapato walivyonavyo Kenya?
 
Good point; management is the issue.
Okay just go ahead and do that. Sisi kwa sasa Magufuli anapigana kuyaludisha baadhi ya mashirika. Tatizo kubwa huwa ni mangement. Kwa nini mashirika yanayo milikiwa na serikali ya Ethiopia yanafanya vizuri tena sana. ?? Hapo issue ni managemdnt nakuwa serious na kazi. Matokeo tutayaona baadae.
 
Sasa ona porojo n wishful thinking., what is Kenya's annual revenue collection? fanya utafiti mwafaka (its double your national budget, nadhani unafahamu hilo, though its still somehow less than our national budget.,)., hii yako eti less $15m is what u want it to be, to feel Tz is okey., despite Kenya's gaps, mpo way below n pabaya tu.
Unapokuwa na budget ya $30 bln halafu tax collection less than $15 bln! Huna jinsi!
 
hawa watu wako na wivu kupindukia.
 
Sasa ona porojo n wishful thinking., what is Kenya's annual revenue collection? fanya utafiti mwafaka (its double your national budget, nadhani unafahamu hilo, though its still somehow less than our national budget.,)., hii yako eti less $15m is what u want it to be, to feel Tz is okey., despite Kenya's gaps, mpo way below n pabaya tu.
Ubishi wa nn? Leta evidence ur tax collection is over $15bln!
 
Bongo people are here bringing their supposed expertise and propaganda without reading the full article to the end
"Currently, there are 262 state corporations and agencies but the government plans to reduce them to 187 by merging them to eliminate duplication. "

1.The govt is not selling everything
2.There is a more detailed document showing what the govt owns and what they are offloading and in what manner
3. Most of these Parastatals have made the govt so big, introducing wastage , duplication and corruption.

Issues Kenyans have with this.
1.why are some of them being sold yet they make so much money and are very stratergic
eg.Kenya ports Authority
Kenya pipeline
Kengen
2.will the selling be transparent ?
3.Will those executives that have been mis-managing them be brought to book.?

View attachment 921755
Wabongo wanafikiria Kenya is poorer like Tanzania, we are both poor but one is poorer; Bongolala.
 
Fanya utafiti., wewe si unakesha mitandao kila uchao kusoma kuhusu Kenya., kaka Kenya sio LDC Tanzania, state owned corporations ni zaidi ya mia mbili offloading 20something is a plus and cant impact negative on Kenya., you so wish everyday to see Kenya coming down but halifanyiki., nyang'au ni nyang'au kaka.
Ubishi wa nn? Leta evidence ur tax collection is over $15bln!
 
Fanya utafiti., wewe si unakesha mitandao kila uchao kusoma kuhusu Kenya., kaka Kenya sio LDC Tanzania, state owned corporations ni zaidi ya mia mbili offloading 20something is a plus and cant impact negative on Kenya., you so wish everyday to see Kenya coming down but halifanyiki., nyang'au ni nyang'au kaka.

According to the review tabled in Parliament late on Wednesday, the taxman collected Sh1.48 trillion or an average Sh123.93 billion a month in the year ending June 2018 against a target of Sh1.65 trillion.

KRA fell short of 2017 revenue target but did better than 2016
 
Unapokuwa na budget ya $30 bln halafu tax collection less than $15 bln! Huna jinsi!
Hapana kurupuka geuza ulaliwe.Tunajua unajua shida zilizo nchi yako LDC ni nyingi kama Somalia tu, mnawashinda kwa amani tu.
 
Sasa ona porojo n wishful thinking., what is Kenya's annual revenue collection? fanya utafiti mwafaka (its double your national budget, nadhani unafahamu hilo, though its still somehow less than our national budget.,)., hii yako eti less $15m is what u want it to be, to feel Tz is okey., despite Kenya's gaps, mpo way below n pabaya tu.
Kwani ninyi mbalinganisha bajeti yenu vs mapato yenu, au mbalinganisha bajeti yenu vs mapato ya Tanzania?.

Tanzania tunapanga bajeti yetu kutokana na mapato yetu, ndio sababu hatukopi sana wala hakuna madeni mengi na makubwa kama ninyi.

Ninyi mnapanga bajeti kubwa isiyoendana na kipato chenu, matokeo yake ndio haya, mtauza hadi vikombe vya jikoni.
 
Deni la Tanzania ni kubwa mno pia, in relation to your $55b gdp., hauna habari?., in EAC ni Kenya na Ethiopia ndio twaongoza kwa deni, nyie munafata kwa kasi., tafuta ripoti ya world bank ukajisomee mwenyewe usiseme mnasingiziwa.

Wewe umekubali nyie LDC?., $55b gdp., on a population ya aprox. 60million?., kisha mnajaribu kujiweka na Kenya., nyie na Ethiopia mpo down despite infrastructures investments ambazo zibawafunga macho na positive gdp growth., population inawamwaga itabidi mtie bidii zaidi ya sasa.
Kubaliniukweli
 
Deni la Tanzania ni kubwa mno pia, in relation to your $55b gdp., hauna habari?., in EAC ni Kenya na Ethiopia ndio twaongoza kwa deni, nyie munafata kwa kasi., tafuta ripoti ya world bank ukajisomee mwenyewe usiseme mnasingiziwa.
Mbona hueleweki?, kinachozungumzwa ni bajeti za hizi nchi kulinganisha na mapato ya hizi nchi.

Kenya mnapanga bajeti kubwa sana kulinganisha na uwezo wenu, kwanini huwa mnapenda kujikweza sana kuliko uwezo wenu?. Ona sasa mnazidi kujiweka pabaya hadi mnauza KPA shirika mama na muhimu sana kwa uchumi na economic freedom ya nchi yenu.
 
Back
Top Bottom