tanzania wata subiri wengine mwaka huu zaidi ya 800 wanagraduate,muhimu kuokoa maisha ya wakenya ndugu zetuIla hapa naona Tanzania wakifaidi sana iwe kwamba mpango huu utaendelea. Vipi madaktari watz wataajiriwa wote Kenya na Tanzania?? Naona hapa noma sana
Watakuja kuajiriwa Tanzania kuziba pengo tutakalolipata if any. Hapo ndiyo usemi wa JPM wa kwamba sisi we are supposed to be a donor country. Tuna aslimali nyingi tu pamoja na asilimaliwatu. Tunaanza na ku donate asilimali watu huko Kenya baada ya kusaini nao mkataba ambao pamoja na mambo mengine wakenya watahakikisha usalama wa watu wetu wakiwa huko Kenya. Vijana wetu wa medics hawataenda huko Kenya kienyeji bali kupitia makubaliano maalum kati ya serikali ya Kenya na Tanzania.Itasaidia hao madaktari wa Tanzania ila nini itakuwa hatma ya madaktari wa Kenya?
nakumbuka na jinsi navyo fahamu watanzania hawana mgomo,waadilifu wazalendo kama wakiajiriwa hutasikia mgmo hata siku mojaIla hapa naona Tanzania wakifaidi sana iwe kwamba mpango huu utaendelea. Vipi madaktari watz wataajiriwa wote Kenya na Tanzania?? Naona hapa noma sana
umsema kweli,jambo jema hao waliogoma huko watakuja tanzania kufidia pengo hilo,hapo ni zaidi ya udunguWatakuja kuajiriwa Tanzania kuziba pengo tutakalolipata if any. Hapo ndiyo usemi wa JPM wa kwamba sisi we are supposed to be a donor country. Tuna aslimali nyingi tu pamoja na asilimaliwatu. Tunaanza na ku donate asilimali watu huko Kenya baada ya kusaini nao mkataba ambao pamoja na mambo mengine wakenya watahakikisha usalama wa watu wetu wakiwa huko Kenya. Vijana wetu wa medics hawataenda huko Kenya kienyeji bali kupitia makubaliano maalum kati ya serikali ya Kenya na Tanzania.
kama madaktari wa tanzania watahakikishiwa usalama wao itkuwa vyema kabisaWakenya hawatakubali ajira zao kuchukuliwa n.a. Wabongo hakika mtakufa hawa siyo ma.....ge kama sisi
🙁🙂🙂🙂Kwa mishahara ya bongo nadhani kwetu atabaki mgsnga mkuu wa serikali na Kigwangala tu
Your line of urgement scares me.I do not welcome the idea that our health system should exclusively be handled by foreigners yet this is the only strike where the participants have cede zero grounds. What i have learned from the saga is that when Raila is president, the unions should not have 4 Kamaus and zero Onyango. There is too much politics is this that we can only pray for sane minds. Going forward, i have no doubt that if the Tanzanians come here they would dutifully perform their roles. In my elementary years we had Ugandan teachers and i don't remember them facing any issues in their line of work; Kenyans will adjust but the political repercussions may be dire
kama madaktari wa tanzania watahakikishiwa usalama wao itkuwa vyema kabisa
Yeah, it's not like the doctors are drawn from only one side of the Kenyan political spectrum; the opposion.Your line of urgement scares me.
How ukabira plays the role in this doctors strike??
Ajira hiyo uliyoisema ni tofauti na ajiri hii ya Madaktari kama itatokea maana hapa wa Kenya na Madaktari wao wataona kuwa Serikali ya Kenya haitaki kuwasikiliza Watoto wao( Vijana ) kwa vile watapata Madaktari wa gharama nafuu kutoka nje ya Kenya.Wakenya hatukuko hivyo, wewe uliona mfano kazi ya usimamizi wa KQ, Kazi ilitangazwa, watu toka hadi Marekani wakaaply, interview zikafanywa na mmoja sijui kutoka uswizi ndiye aliyepata hiyo kazi. Hujasikia wakenya wakisema aende ama hafai, sisi huchukulia competition kwa uzuri
I am talking of leadership not the composition of the doctors. If you believe the tribe of the leaders play zero role in determining how they engage with government you have not followed the teachers strikes long enoughYeah, it's not like the doctors are drawn from only one side of the Kenyan political spectrum; the opposion.
Sounds like doctors in public hospitals come from a certain ethinic background.Yeah, it's not like the doctors are drawn from only one side of the Kenyan political spectrum; the opposion.
Kuna zaidi ya madaktari 3,000 Tanzania wako mitaani jobless. Kwa miaka 2 sasa hatujaajiri madaktari kwani hatuna uhaba nao, na vyuo vyetu vikuu vinaendelea kufyatua madaktari 2,000 per annum.
Hivyo hiyo ni neema kwao. Usalama wao definately serikali ya Kenya itaulinda. Msiwaogopeshe. It is a good opportunity for them. Acha vijana wetu wakafanye kazi Kenya. Kwanza huo mshahara waliougomea medics wa Kenya ni mara tatu ya mshahara ambao tungewalipa sisi kama tungewaajiri. Na tumeshindwa kuwaajiri kwani nafasi zimejaa na wage bill yetu inatumia almost 55% ya makusanyo ya TRA.
Hata sisi wakati wa mgomo wa akina Dr Ulimboka tulitishia kuwatimua madaktari wote waliokuwa kwenye mgomo na nafasi zao zilikuwa zichukuliwe na madaktari toka China. Tishio hilo ndilo lilimaliza mgomo. Serikali si ya kuchezea. Wakenya wamechelewa sana kuchukua hatua hiyo, hivyo wagonjwa wengi wasio na hatia wamepoteza maisha ambao wangepona kwa kupata huduma za kitabibu. Vijana wetu waende kuokoa maisha ya ndugu zetu Wakenya. Undungu ni kusaidiana kwenye matatizo. Ndiyo ushirikiano wa EAC unaopaswa kuwa. Kwa miezi 4 Wakenya wamekuwa wakipukutika kwa kukosa madaktari wakati sisi tuna ziada ya madaktari wako jobless mitaani. Hii siyo vizuri.
nahic watahitaji experienced doctorsPia kuna madaktari waliohitimu Tanzania bado hawajapangiwa vituo vya kazi, nadhani hao wanaweza kusaidia pia.
Sidhani kama watawapata madaktari wazoefu, ajira hii haitabiriki. Halafu, madaktari huwa wanafanya mafunzo kwa njia ya vitendo kwa miaka miwili, nadhani inatosha kufanya wabobee kwa kiwango kizuri.nahic watahitaji experienced doctors