Serikali ya Kenya kuwaajiri madaktari kutoka Tanzania, Uhabeshi na Cuba

Serikali ya Kenya kuwaajiri madaktari kutoka Tanzania, Uhabeshi na Cuba

Ila hapa naona Tanzania wakifaidi sana iwe kwamba mpango huu utaendelea. Vipi madaktari watz wataajiriwa wote Kenya na Tanzania?? Naona hapa noma sana
tanzania wata subiri wengine mwaka huu zaidi ya 800 wanagraduate,muhimu kuokoa maisha ya wakenya ndugu zetu
 
Itasaidia hao madaktari wa Tanzania ila nini itakuwa hatma ya madaktari wa Kenya?
Watakuja kuajiriwa Tanzania kuziba pengo tutakalolipata if any. Hapo ndiyo usemi wa JPM wa kwamba sisi we are supposed to be a donor country. Tuna aslimali nyingi tu pamoja na asilimaliwatu. Tunaanza na ku donate asilimali watu huko Kenya baada ya kusaini nao mkataba ambao pamoja na mambo mengine wakenya watahakikisha usalama wa watu wetu wakiwa huko Kenya. Vijana wetu wa medics hawataenda huko Kenya kienyeji bali kupitia makubaliano maalum kati ya serikali ya Kenya na Tanzania.
 
Ila hapa naona Tanzania wakifaidi sana iwe kwamba mpango huu utaendelea. Vipi madaktari watz wataajiriwa wote Kenya na Tanzania?? Naona hapa noma sana
nakumbuka na jinsi navyo fahamu watanzania hawana mgomo,waadilifu wazalendo kama wakiajiriwa hutasikia mgmo hata siku moja
 
Watakuja kuajiriwa Tanzania kuziba pengo tutakalolipata if any. Hapo ndiyo usemi wa JPM wa kwamba sisi we are supposed to be a donor country. Tuna aslimali nyingi tu pamoja na asilimaliwatu. Tunaanza na ku donate asilimali watu huko Kenya baada ya kusaini nao mkataba ambao pamoja na mambo mengine wakenya watahakikisha usalama wa watu wetu wakiwa huko Kenya. Vijana wetu wa medics hawataenda huko Kenya kienyeji bali kupitia makubaliano maalum kati ya serikali ya Kenya na Tanzania.
umsema kweli,jambo jema hao waliogoma huko watakuja tanzania kufidia pengo hilo,hapo ni zaidi ya udungu
 
I do not welcome the idea that our health system should exclusively be handled by foreigners yet this is the only strike where the participants have cede zero grounds. What i have learned from the saga is that when Raila is president, the unions should not have 4 Kamaus and zero Onyango. There is too much politics is this that we can only pray for sane minds. Going forward, i have no doubt that if the Tanzanians come here they would dutifully perform their roles. In my elementary years we had Ugandan teachers and i don't remember them facing any issues in their line of work; Kenyans will adjust but the political repercussions may be dire
Your line of urgement scares me.
How ukabira plays the role in this doctors strike??
 
Your line of urgement scares me.
How ukabira plays the role in this doctors strike??
Yeah, it's not like the doctors are drawn from only one side of the Kenyan political spectrum; the opposion.
 
Wakenya hatukuko hivyo, wewe uliona mfano kazi ya usimamizi wa KQ, Kazi ilitangazwa, watu toka hadi Marekani wakaaply, interview zikafanywa na mmoja sijui kutoka uswizi ndiye aliyepata hiyo kazi. Hujasikia wakenya wakisema aende ama hafai, sisi huchukulia competition kwa uzuri
Ajira hiyo uliyoisema ni tofauti na ajiri hii ya Madaktari kama itatokea maana hapa wa Kenya na Madaktari wao wataona kuwa Serikali ya Kenya haitaki kuwasikiliza Watoto wao( Vijana ) kwa vile watapata Madaktari wa gharama nafuu kutoka nje ya Kenya.
Hii haitatofautiana na suala la Afrika Kusini ambapo Raia wake walikuwa wanataka kuboreshewa maslahi yao lakini wafanyakazi kutoka nchi Jirani wakakubali kuchukua mishahara midogo na kuchukua nafasi zao.
Mwisho wa siku lazima kutokee chuki na mauji kutokea. Hilo tatizo huwa lonajitokeza kila sehemu. Mfano Wanajeshi wa Tanzania walisaidi kumtoa madaraki Idd Amin ( ambaye Waganda wengi wlikuwa wanamchukia) lakini baadaye Waganda wakaanza kuwauwa askari wa Tanzania. Sasa hivi Raia wa Msumbuji wanawafukaza Watanzania kutoka Mozambique! Kwa hiyo ni vyema Serikali ya Kenya ikamalizana vizuri na Madaktari wake kuliko kukimbilia kuajiri Madaktari kutoka nje. Itakuwa ni kupandikiza mbengu mbaya na fitina baina ya Raia wa Tanzania na Raia wa Kenya.
 
Yeah, it's not like the doctors are drawn from only one side of the Kenyan political spectrum; the opposion.
I am talking of leadership not the composition of the doctors. If you believe the tribe of the leaders play zero role in determining how they engage with government you have not followed the teachers strikes long enough
 
This idea ni pitiful ya serikali ambayo Haina mwelekeo! Unadhulumu wafanyikazi WA kwako ufuate cheap labor kutoka nje. Kuna Sheria za uajiri Na something tells me this is going to court. No2 gharama ya maisha Kenya sio Tanzania au Cuba. ugenini itabidi ulipwe wanachadai daktari wakenya. Tatu gavana Toka upinzani wengine wanasema hawafuti daktari wakenya county zao!
 
Kuna zaidi ya madaktari 3,000 Tanzania wako mitaani jobless. Kwa miaka 2 sasa hatujaajiri madaktari kwani hatuna uhaba nao, na vyuo vyetu vikuu vinaendelea kufyatua madaktari 2,000 per annum.

Hivyo hiyo ni neema kwao. Usalama wao definately serikali ya Kenya itaulinda. Msiwaogopeshe. It is a good opportunity for them. Acha vijana wetu wakafanye kazi Kenya. Kwanza huo mshahara waliougomea medics wa Kenya ni mara tatu ya mshahara ambao tungewalipa sisi kama tungewaajiri. Na tumeshindwa kuwaajiri kwani nafasi zimejaa na wage bill yetu inatumia almost 55% ya makusanyo ya TRA.

Hata sisi wakati wa mgomo wa akina Dr Ulimboka tulitishia kuwatimua madaktari wote waliokuwa kwenye mgomo na nafasi zao zilikuwa zichukuliwe na madaktari toka China. Tishio hilo ndilo lilimaliza mgomo. Serikali si ya kuchezea. Wakenya wamechelewa sana kuchukua hatua hiyo, hivyo wagonjwa wengi wasio na hatia wamepoteza maisha ambao wangepona kwa kupata huduma za kitabibu. Vijana wetu waende kuokoa maisha ya ndugu zetu Wakenya. Undungu ni kusaidiana kwenye matatizo. Ndiyo ushirikiano wa EAC unaopaswa kuwa. Kwa miezi 4 Wakenya wamekuwa wakipukutika kwa kukosa madaktari wakati sisi tuna ziada ya madaktari wako jobless mitaani. Hii siyo vizuri.

I doubt this statement. Someone give me the doctor patient ratio Tanzania! Na tulinganishe Na WHO or UN recommended ratio. Something tells me Tanzania hawana hela ya kuajiri hawa madaktari!
 
nahic watahitaji experienced doctors
Sidhani kama watawapata madaktari wazoefu, ajira hii haitabiriki. Halafu, madaktari huwa wanafanya mafunzo kwa njia ya vitendo kwa miaka miwili, nadhani inatosha kufanya wabobee kwa kiwango kizuri.
 
Back
Top Bottom