Serikali ya Kenya kuwaajiri madaktari kutoka Tanzania, Uhabeshi na Cuba

Serikali ya Kenya kuwaajiri madaktari kutoka Tanzania, Uhabeshi na Cuba

Hukusikia kauli ya malaika Mkuu ya yeye kutaka Watanzania tuishi kama mashetani!? Njia mojawapo ya kuhakikisha hilo ni mishahara njiwa Mkuu.

Nilimsikia rais wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) anasema interns wa Kenya wana earn zaidi ya registered doctors wa bongo.

Nadhani wengi wataacha kazi na kuna uwezekano ghasia dhidi ya wageni zikaanza Kenya kama ilivyo SA.

Kwa sasa bongo Kuna madaktari zaidi ya 1500 wako mtaani
 
This is not good, I feel it down into my damn guts, we still need our doctors back. Both sides should cede grounds and meet somewhere.
Not possible in nchi ya kitu kidogo....you know it better
 
Sina uhakika ila nahisi mgomo wa madaktari wenu unachochewa zaidi na akina Otieno, Ochieng na Onyango. Ongezeko la mshahara wanalotaka ni kubwa mno na hamna kiongozi yeyote ikiwemo Raila atayeweza kutimiza matakwa yao.
Dawa yao ni kuwanyang'anya leseni zao warudi kunyonya kwa mama zao.
Usharudi kwa ukabila....Onyango amefanya nini?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwa uchumi wa nchi zetu, kukubali mshahara wa 1000$ a month kwa resident tu ni kukaribisha maafa, Engineers nao wangefuata kwa kutaka increment ya hatari. Na sidhani kama Uhuru anapenda Mpigs wanavyojilipa, sema akigusa mapato yao watampiga vita ambayo ataumia sana na yeye. Hii inshu ingetokea Tz ingekaa week moja tu, Magu angefungia mtu mahabusu au angeenda kumtoa meno kwa pliers na mgomo kuisha polepole.
Kenya tofauti sana Na tz. Uwezi kulazimisha peaceful picketing ni mojawapo yA nguzo za katiba ya Kenya. As far as uhuru Na wenzako mbunge wanawaibia wakenya Kila mtu ana haki kudai kulipwa millioni Moja na zaidi. They are not special! WB says wanalipwa more than 15 times what Kenyan econ can pay them. In Kenya we don't pay merit we reward mediocracy.
 
Hamna siku utaskia Wakenya wanawachukia wageni kwa ajili ya masuala ya ajira, maana wenyewe tuna uwezo wa kulinda ajira zetu kwa kujituma balaa. Ukija Kenya kutafuta kazi lazima uwe tayari kutia bidii pindi ukipata.

You are truly correct, Kenyans value work, they are hard working, very laborious, industrious, hawana mchezo kwenye ajira, I was once up on a time stationed in Nairobi Kenya in the seventies/eighties my Kenyans office mates were friendly and dutiful.
 
Nilimsikia rais wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) anasema interns wa Kenya wana earn zaidi ya registered doctors wa bongo.

Nadhani wengi wataacha kazi na kuna uwezekano ghasia dhidi ya wageni zikaanza Kenya kama ilivyo SA.

Kwa sasa bongo Kuna madaktari zaidi ya 1500 wako mtaani
Wapo mtaani wapi?
 
Kenya hakuna kitu kama hicho kumudhuru asie raia wala kusikia uhamuaji wanafuatilia ila hapa migration wanafuatilia wageni sana
 
Kenya iko mbioni kuajiri madaktari toka Tanzania wiki chache zijazo

By Wangui Ngechu For Citizen Digital
Published on 8 March 2017


Council of Governors Chair Peter Munya has announced that the government will hire doctors from Tanzania, Ethiopia and Cuba in the next three weeks to replace striking doctors.
Speaking during the ongoing devolution conference in Naivasha, Munya directed doctors who are yet to resume duty to go and sign Recognition Agreements with their individual county governments.
Also Read: Cecafa ‘endorses’ incumbent Hayatou for CAF President
The striking doctors are, however, insisting that the recognition agreement and the CBA as amended and revised should be signed first before they can return to work
In a statement to newsrooms, the Kenya Medical Practitioners, Pharmacists and Dentists Union (KMPDU) Secretary General Dr Ouma Oluga and other union officials have urged the doctors to maintain their resolve insisting that the recognition agreement and CBA must be signed to end the 94-day strike.
“We await to conclude the signing of Recognition Agreements, CBA and then after RTWF as was guided by the Court of Appeal under the Mediation of Religious Leaders. We hope this shall be done soon,” read the statement.
Despite government withdrawing a deal negotiated during the meditation process, the doctors now say that they cannot be coerced and bulldozed into returning to work without inking the negotiated deal.
“While the payroll and the hospital belongs to the government, your skill is selfishly yours. But let nobody make you think that it must be forced on you to use it,” said Oluga.
But the council of governors remains adamant that the deal is no longer on the table, accusing the union of sabotaging the health sector
This comes just a day after President Uhuru Kenyatta on Tuesday, March 7 termed demands by doctors as blackmail, saying that what the medics are demanding in their 2013 Collective Bargaining Agreement is too high and cannot be achieved overnight.
The Head of State further warned the striking medics of consequences should the ongoing mediation process fail.
“If this round they are engaged with religious leaders fail, we will be in a bit of a problem with them,” warned Kenyatta. “This is blackmail and we are not going to entertain it.”
While terming the doctors as dealing an unfair hand, Kenyatta reiterated the government’s commitment to a fair resolution to the doctors and also to the Kenyans who pay.
“It is clear to me that the doctors’ grievances will never be resolved by creating new grievances of their own. Two wrongs have never made a right,” lamented the President. “There is no fairness in that.”
In January, the government had intimated that it was exploring possibilities of recruiting foreign doctors in a bid to restore health services in public hospitals.
Speaking during a joint media conference then, Health Cabinet Secretary, Cleopa Mailu, who was accompanied by Treasury CS, Henry Rotich, and Public Service Commission (PSC) chair, Prof Margaret Kobia, expressed disappointment in the doctors’ union for rejecting the government’s offer
 
"Ukisema cha nini, wenzako wanasema watakipata lini...!"

Ahsante sana Wahenga wetu haidhuru hata kama tunazipuuza tahadhali mlizotuachia!!!
 
We hope they will reach a fair deal, no need to employ foreign medics because that will make the situation even more worse, it will cause enemity between local medics and foreign medics
 
Kama wameshindwa kuwalipa sie foreigner wataweza kutulipa au ndo kututafutia mauti tukifika.
 
Siafiki watanzania ma Dr waende kufanya kazi Kenya! Kwanz ni hatari sana kwa usalama wa maisha yao pili madai yao ni sawa sawa EA yote hivyo basi serikali ya Kenya iende mbali zaidi na kutafuta suluhu suluhu matatizo na watu wake
 
Kama wameshindwa kuwalipa sie foreigner wataweza kutulipa au ndo kututafutia mauti tukifika.
Sio serikali imeshindwa wameshindwana viwango! Sasa kama mtanzania yuko tayari kufanya kazi kwa mshahara ambao serikali inaumudu hakuna tatizo.Serikali haina tatizo la kushindwa kulipa viwango vilivyopo.Sasa wale madaktari wana miezi mitatu wako kwenye mgomo( WANALIPWA BILA KUFANYA KAZI) ni sawa na kusema wameacha kazi.Ndio maana KENYA wanaona waajiri tu wengine
 
ushaur wa bure kwa wanaojiona wao n madokta wa tz,mkiwa na viherehere na njaa2 zenu huko mnapeleka rehan maisha yenu! msha waona wao n wapumbav kias hcho na niny wajinga wa kiwango cha juu! mbona hapa tanzania mnafanyiwa ujinga mwing hamriact? nendeni ila 2tawazika kiroho safi! mbona walipo2lia hawakutangaza hzo ajira? n ushaur wa bure!
 
Sio serikali imeshindwa wameshindwana viwango! Sasa kama mtanzania yuko tayari kufanya kazi kwa mshahara ambao serikali inaumudu hakuna tatizo.Serikali haina tatizo la kushindwa kulipa viwango vilivyopo.Sasa wale madaktari wana miezi mitatu wako kwenye mgomo( WANALIPWA BILA KUFANYA KAZI) ni sawa na kusema wameacha kazi.Ndio maana KENYA wanaona waajiri tu wengine
Kama wewe ni Dr uende...maana yumkini story ya chui aliyeraluliwa ni history
 
Kama wameshindwa kuwalipa sie foreigner wataweza kutulipa au ndo kututafutia mauti tukifika.
Kwa ushauri wangu madaktari wetu wasiikubali hiyo ajira ninavyowajua wakenya watarudishwa ktk sanduku mmoja baada ya mwingine, hawa jamaa wanaroho ya kwanini yaani sio wa kuwaamini hata kidogo
 
Back
Top Bottom