Serikali ya Kenya muachieni Mchungaji Paul McKenzie haraka sana

Sema tu Waislam, unaficha ficha nini wewe Islamophobe?
 
Huyu mchungaji akipata wanasheria wazuri hiyo kesi anashinda maana hakuna aliyelazimishwa kufunga ni hiari ya wahusika wenyewe tena wakiwa majumbani mwao
 
Ishu ni walokole wamejiua kwa njaa na kuwaua na watoto wao. Lijadiliwe hilo. Acha mbambamba.
wamekufaje, mambo ni haya haya ya dini, acha kuficha ujinga kwenye dini, unajua dini vizuri lakini? Mkiambiwa fungeni mnafunga bila kujihoji ni agizo la Mungu au binadamu. Usijione uko tofauti na hao walifunga mpaka wakafa wakati na wewe una dini inayokutaka ufunge kula kila mwaka msimu wa kufunga ukifika
 
Narudia tena hapa Waislam hawahusiki wala hili halifananii na Uislam. Hili sio tatizo la Waislam. Lijadiliwe hivyo. Sio mnaanza kuingiza ingiza Uislam.

Msifiche fiche.
 
Narudia tena hapa Waislam hawahusiki wala hili halifananii na Uislam. Hili sio tatizo la Waislam. Lijadiliwe hivyo. Sio mnaanza kuingiza ingiza Uislam.

Msifiche fiche.
Mbona una kiherere we mfia dini mwingine, kuna mtu kataja uislamu hapo? Tunajidili wamekufa kwa kufunga. Hao waliokufa kwa kufunga wamezidisha muda mrefu bila mwili kupata chakula cha kuujenga. Wafungaji wako wengi, kila dini wapo ila wengine wanafunga kwa masaa yasiyozidi siku moja ndio maana wao wanadunda kwa kuwa jioni wanakula. Wafungaji wako wengi kwenye dini usilete kiherere cha kujishuku wakati huna tofauti na hao waliojifia kwa kufunga kula
 
Ni walokole nguli kabisa
 
Ni walokole nguli kabisa
hao sio walokole acheni kuwapa sifa ambazo si zao. Walokole gani wapuuzi kama wale wajifie kijinga vile? Unataka nikuoneshe makanisa ya walokole yote ukaingie uone kama kuna ujinga ule? Unawajua walokole vizuri lakini?
 
Bas wafe tu wajinga wote
 
Watu hawajui Mungu yupo kwenye ufahamu Dini zote ziliazishwa kwa Lengo la Kumtafuta Mungu,kiasili, Mwanadamu huamini kuna nguvu inayoendesha kila kitu ambayo huitwa Mungu, Taratibu zote Hizi zimetungwa wakiamini Mungu anataka iwe hivyo.Siri Kubwa ipo katika kuamini Nguvu inayoishi ndani ya kila mtu.Mungu anaishi katika ufahamu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] loti bhjaaa
 
Narudia tena hapa Waislam hawahusiki wala hili halifananii na Uislam. Hili sio tatizo la Waislam. Lijadiliwe hivyo. Sio mnaanza kuingiza ingiza Uislam.

Msifiche fiche.
Sahihi kbsa mkuu Wala mm sikuwataja waislamu mm nimewataja wakristo waislmu wako vzr kwenye kufunga kwa utaratibu unao eleweka kote duniani
 
hao sio walokole acheni kuwapa sifa ambazo si zao. Walokole gani wapuuzi kama wale wajifie kijinga vile? Unataka nikuoneshe makanisa ya walokole yote ukaingie uone kama kuna ujinga ule? Unawajua walokole vizuri lakini?

Ni walokole na walokole ndo wana tabia nyingi za kipuuzi na matatizo ya afya akili, makanisa mengi ya kilokole yameproove hilo, mbona hatujawahi kusikia padre wa roman kawaambia waumin wafunge kwaresima nzima kavu mpk wafe? Au muumin yeyote wa roman kafa kwa kufunga? Mbn waislam wanafunga miaka na miaka enzi na enzi hatujawahi kusikia kuna mtu kafa kwa kifunga, hata sheikh akawaambia wafunge mpk wafe wakakutane na Allah? Nyie walokole chenga sana!! Sa upo unatokwa povu trying to show kwamba kufunga ni kubaya kunaua, nyie walokole ufungaji wenu ndo wa kipumbavu na kiwendawazim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…