Serikali ya Kenya muachieni Mchungaji Paul McKenzie haraka sana

Fahamuni kuwa walokole hawana imani za kishenzi kama zile. Ni watu wenye hekima na busara katika dunia hii, hawapendi dhambi, ni kukemea maovu yote. Wamejaaliwa neema kubwa kuuponya ulimwengu
 
Hawa manabii na mitume feki wanaudhi ila wafuasi wao wanaudhi zaidi. Acha wafe tu.
 
Nashukuru kwa kunijibu...Sasa naomba shule ulokole maana yake nini na ili mtu awe mlokole anapaswa awe na sifa zipi na si mbaya ukasindikiza na andiko kwenye biblia linaloonyesha ulokole ndo ufuatwe si lutheri,Catholic nk.

NB:Nahitaji kujua tu nijifunze
 
ulokole ni neno la kejeli na dhihaka, asili yake ni uganda. Neno hili halipo kwenye biblia na wala si dini. Lilikuwa ni neno la kuwakejeli na kuwadhiki waumini waliojitenga na uovu wa dunia hii na kushika mafundisho ya Mungu. Wajua hata hapa kwetu neno hili lilipoingia lilipamba sana kiasi cha kukubalika hata na wapentekoste wenyewe ambao wanajitambua kuwa wameokoka, yaani wamejitenga na dhambi za dunia hii na kushika amri za Mungu na maagizo yake. Jina hili walokole wenyewe hawalipendi na hawalikubali kiasi cha kulitupilia mbali kwa hao wasioshika amri za Mungu huku wanasema wameokoka. Kwenye biblia hakuna msamiati huo. Dhana ya ulokole ilikuwa ni dharau kwa jamii ya wakristo walijitenga na uovu
 
Inasikitisha mno ,MK254 amepona kweli kwenye huo mkasa ?

Haya yalitabiriwa, watakuja manabii na mitume wa uwongo na Wakristo watapitia hali ngumu sana ya kuyumbishwa, Wakristo watachinjwa pia (kumbuka jinsi huwa mnawachinja), yeyote ambaye hajaushika Ukristo wake vizuri atayumba.
 
watu watulie kwenye makanisa yao, waache kukimbilia miujiza na ishara kwa wahubiri feki itawaponza. Tatizo makanisani mwao nako ufundishaji wa neno la Mungu ni sifuri. Watu wemejiwekea miongozo ya ajabu, neno moja linafundishwa nchi nzima makanisa yao yote. Wanaona bora wakatafute malisho bora kwingine, huko nako wanakutana na matango pori yenye sumu. Kwa kweli Mungu awasaidie kujua ni wapi sehemu salama kujifunza neno lake
 
Haya yalitabiriwa, watakuja manabii na mitume wa uwongo na Wakristo watapitia hali ngumu sana ya kuyumbishwa, Wakristo watachinjwa pia (kumbuka jinsi huwa mnawachinja), yeyote ambaye hajaushika Ukristo wake vizuri atayumba.
kwa wakristo walioshiba neno wanajua nini kinatokea duniani, hawana hofu na hatishiki na uvumi wa mafundisho feki. Hata wakiambiwa Yesu yuko kule haiwashitui. Kimbembe kiko kwa wasiojua maandiko matakatifu, watulie wafundishwe kweli wasije wakasombwa na dhoruba hizi kama za kenya
 
Haya yalitabiriwa, watakuja manabii na mitume wa uwongo na Wakristo watapitia hali ngumu sana ya kuyumbishwa, Wakristo watachinjwa pia (kumbuka jinsi huwa mnawachinja), yeyote ambaye hajaushika Ukristo wake vizuri atayumba.
Hata sisi yalitabira watatokea maKhawarij(extremist) ambao watavuka mipaka katika dini watawaona hata Waislamu wenzao hawashiki dini vizuri na kuwauwa pamoja na wengine wasiokubali misimamo yao .

Rejea hao chinja njia wanalipua mpaka vitoto , msikitini hata awe Muislamu ilimradi hajawafuata basi huyo sio mwenzao ni kifo tu.
 

Kwenye Ukristo yalitabiriwa kabla huyo Mwarabu wenu hajazaliwa na kuja kuanza kuchinja Wakristo.....na tatizo nyote mlioingizwa kwenye hiyo dini yake mkafuata mkenge, unakuta waislamu wanateka bus Kenya na kutenganisha Wakristo na kuwachinja, yaani Waafrika mnachinja Waafrika wenzenu kisa dini za huko mbali.
Mpare ametoka huko migombani Upareni akaja kuua wanafunzi Kenya pale Garissa kisa tu dini ya huyo Mwarabu.
 

Pole sana et walokole wapo smart na hao ndo mabingwa wa kuamini mitume na manabii uchwala

Dhehebu lo lote ambalo lina mmiliki 1 tu na halina branches ko kote kule yaani muanzilishi ndo kusema KAA MBALI NA HILO DHEHEBU. Thank me later!
 

Pole sana
Sasa ikawaje kwa Kibwetele?
Kwa Mwamposa ikawaje kwenye mafuta?
Ok na huyo Mackenzie nae utasema ni islam?
Huyo alojiita yesu hapo Kenya baada kuambiwa atasulubiwa pasaka ilopita kakimbia kureport polisi sio chaka la walokole?

Hiyo mifano ya maswali nilokuuliza ukiitoa kwenye ulokole utaiweka dhehebu gani?

Ogopa sana kumuamini mtu badala ya Mungu
 
Ogopa sana dhehebu lo lote la mtu 1 ndo kusema na mbaya zaidi yeye ndo anayeitafsiri biblia atakavyo
 
usichanganye wali na matango pori, hao unaowataja kwa taarifa yako si walokole unaomaanisha. Wale ni wakengeufu walioanzisha imani zao za upotoshaji wala walokole hawawatambui. Fahamu kwanza dhana ya ulokole ndio ufananishe, ulinganishe na utofautishe na walokole, usinichoshe kwa kurudiarudia kuelelezea dhana ya ulokole nimeshatoa ufafanuzi kwenye nyuzi zinazohusu washenzi hao mnaowahusisha na ulokole
 
Waisalmu ndio wanao ongoza kuchukuwa mafuta ya mwamposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…