Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

Unatangaza hali ya hatari kwa taifa dhidi ya mamilioni ya vijana wasiokuwa na ajira wanaojipanga na kuratibu mambo yao mitandaoni, how? Mbona ni kuongeza hamaki na taharuki kwa taifa pasipo msingi wowote.
Hilo ni tangazo la kijinga na kipumbavu zaidi.

Kwa kipindi kama hichi mamlaka zilipaaswa kuja na kauli za kusisitiza amani, usalama na demokrasia.
 
Ruto alikuwa na lugha nzuri kweli wakati wa kampeni, sijui kwa nini wanasisa wako hivyo!
Huyo jamaa ni 'crook' aliyehitimu katika kazi hiyo. Yaani ana lugha nzuri sana, siyo wakati huo wa Kampeni pekee, lakini msikilize kila anapozungumzia jambo, utadhani ni kiongozi mwenye dira kwelikweli; lakini ukitazama anayofanya, ni nyume kabisa na hizo hadaa anazo eneza kila mahali.
 
Hali ya Hatari katangaza Waziri badala ya Amir Jeshi mkuu

Labda keshasepa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
lotakalo anzia Kenya bas litaingia Tz muda si mrefu , Kenya ni role model wa Tz
Sijui hiyo 'role model' unaihusisha na mambo gani wewe. Binafsi sijawahi kuhusisha nchi hiyo na matendo ya Tanzania.
Nadhani hapa unaunganisha tu matamanio yako juu ya hali iliyopo huko iingie hapa. Hilo haliwezi kufanya nchi hiyo iwe 'role model' kwa Tanzania.
Unachanganya maana ya hayo maneno 'role model', na kuyatumia isivyo.
 
Amedisappointed sana , aliaminika na kutarajiwa kwa mema mengi mazuri kwa maslahi ya uma lakini imekuwa kinyume chake kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…