Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

Yes, waziri wa ulinzi hana mamlaka hayo maana yeye ni mteule tu, mamlaka hayo yanabakia kwa amri jeshi mkuu ambaye ni Rais aliyechaguliwa moja kwa moja na wakenya.
Kama waziri wa ulinzi atakuwa na hayo mamlaka maana yake Rais hatakuwa tena na hayo mamlaka kwa sababu, huwezi kuwa na military command kutoka kwa watu tofauti tofauti, kuna hatari ya migongamano ya kiamri.

Nasema hayo from Tz constitutional perspective.
Yaani unatumia katiba ya Tanzania kutafasiri mambo ya Kenya.

Uko serious kweli.?
 
Nikikumbuka KDF walivyovyamia Westgate ili kukabiliana na magaidi wakaishia kuiba bidhaa kwenye maduka. Sasa wakiiingia mtaani hali itakuaje? RUSHWA na UKABILA ni sumu Kenya.

ISOMEKE : ni ya badala ya NINYA
 
Ulikuwa ni mtego sasa nae kajaa!!




KAZI ni kipimo cha UTU
 
Mkuu unataka kusema vijana wataendelea kuingia barabarani licha ya jeshi kumwagwa barabarani? Na Ruto ataachia kiti kweli?
Kwa jinsi wakenya walivyo lazma wataingia barabarani,
Huwa wanaprefer Kufa kuliko kukosa haki yao ni tofauti na Tanzania Tulivyolelewa..

Neno 'Funika Kombe mwanaharamu apite" ni neno lililopo Tanzania Pekee
 
Too late, Rutto anavizia hela za kupeleka Polisi Haiti, kwa hiyo anataka kuonyesha jeshi lake linaheshimu haki za binadamu, Hii imesham-cost kisiasa, angeweza kuzuia maandamano mapema tu. Hii ni Afrika, inapobidi, piga rungu kweli kweli

Sasa hivi Rigathi Gachagua anachekea chooni
Usicheze na watoto wa mjini kama Uhuru,kuna watu wako behind this issue
 
Mchoro wa Ramani ya ikulu ya kenya
20240626_003614.jpg
 
  • Mshangao
Reactions: K11
Ngoja tuone kama kutakuwa na ongezeko la watalii zaidi Tanzania.

Likitokea msije mkatupanga ni matokeo ya Royal Tour, mseme wazi ni madhara ya maandamano hapo Kenya.
 
Huku kwetu kuna mtu anaitwa kawaida
Mungu tusaidie
 
Back
Top Bottom