GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Yaani unatumia katiba ya Tanzania kutafasiri mambo ya Kenya.Yes, waziri wa ulinzi hana mamlaka hayo maana yeye ni mteule tu, mamlaka hayo yanabakia kwa amri jeshi mkuu ambaye ni Rais aliyechaguliwa moja kwa moja na wakenya.
Kama waziri wa ulinzi atakuwa na hayo mamlaka maana yake Rais hatakuwa tena na hayo mamlaka kwa sababu, huwezi kuwa na military command kutoka kwa watu tofauti tofauti, kuna hatari ya migongamano ya kiamri.
Nasema hayo from Tz constitutional perspective.
Uko serious kweli.?