Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

Ya Allah tuepushe Tanzania yetu na vurugu za Majirani ..kwani kuna watu ..hasa wafuasi wa CHADEMA wanatamani vurugu za Kenya zingekuwa hapa kwetu ... Wape mioyo ya subira kwani mama yupo kazini .. mpe umri mrefu Rais wetu na ikikupendeza basi atawale miaka 10 mbele ..
 
Una maanisha Waziri wa Ulinzi Hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari?
Yes, waziri wa ulinzi hana mamlaka hayo maana yeye ni mteule tu, mamlaka hayo yanabakia kwa amri jeshi mkuu ambaye ni Rais aliyechaguliwa moja kwa moja na wakenya.
Kama waziri wa ulinzi atakuwa na hayo mamlaka maana yake Rais hatakuwa tena na hayo mamlaka kwa sababu, huwezi kuwa na military command kutoka kwa watu tofauti tofauti, kuna hatari ya migongamano ya kiamri.

Nasema hayo from Tz constitutional perspective.
 
Hali ni mbaya Sana kwa Majirani..
Jeshi limeingia Rasmi mzigoni..
View attachment 3026133
Mr. ⁦WilliamsRuto⁩ and ⁦AdenDuale⁩, this is illegal. You have no power to deploy KDF without parliamentary authority. You will pay for these flagrant abuse of power and atrocities against the people. The revolution will continue until you are removed from power!
 
Back
Top Bottom