Tetesi: Serikali ya Magufuli kuipeleka bungeni report ya CAG Asaad kwa lengo maalum!!

Umekosea mleta Uzi kutojimbanua ka kawaida yenu kuwa ni ex dstv au mganga wa kienyeji na ramli chonganishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna magreen gadi yameanguka na gari huko yalikuwa yanajiandaa kuwapumbaza watanzania kwa miale ya moto kafuatilie habari zao ujue mangpi yamedanja ukale mpunga na kusunda rambirambi.
 
Hivi huyo Ndugai hakujua kwamba ni lazima wajadili hotuba ya CAG. Au wanafikri CAG ni Asaad. Hii ni ofisi. NGOJA TUONE UJUAJI WAKE UTAISHIA WAPI
 
Mkubwa pitia tena taarifa ya Bunge hawajasema wamesusia ofisi ya CAG na wala kususia ofisi ya CAG walichokisema ni kufanya nae kazi, ukielewa hapo nadhani unaweza kuelewa nilichokiandika
 
Sasa simpaka waamue kuifuata hiyo katiba??
 
Serikali ya Magufuli au Serikali ya Tanzania ????
 
Mkubwa pitia tena taarifa ya Bunge hawajasema wamesusia ofisi ya CAG na wala kususia ofisi ya CAG walichokisema ni kufanya nae kazi, ukielewa hapo nadhani unaweza kuelewa nilichokiandika
Kwani kiutaratibu huwa wanafanya kazi gani na CAG ambaye kwa sasa ni Prof. Asaad?!
 
Nimeuliza humu, bunge limekataa kufanya kazi na ofisi ya CAG au na prof Assad? Maana kama ni mtu (mkosaji) ofisi bado ipo ma na watendaji wengine
Na huu nao ni mkanganyiko. Taarifa zinasema limeazimia kutofanya kazi na CAG, wala sio ofisi ya CAG. Kwa sasa CAG ni Prof. Asad. Natarajia baada ya uteuzi wa CAG mwingine bunge litakuja na azimio la kutengua uamuzi wa kumsusa CAG. Vinginevyo tutarajie viroja vya mwaka!!
 
Nimeuliza humu, bunge limekataa kufanya kazi na ofisi ya CAG au na prof Assad? Maana kama ni mtu (mkosaji) ofisi bado ipo ma na watendaji wengine
huu ndio ugonjwa wa JIWE wa kukurupuka amewaambukiza watoto wake nao wanakurupuka kama JIWE
 
Ewe Tanzania Tanzania, mama yangu Tanzania mbona umegeuka na kuwa kahaba? Mbona umebadilika hivi mama yangu? Ya nn kutudhalilisha watoto wako? Watazame majirani zetu wanavyokusema. Mama huu ukahaba utaisha lin?
Kabisaa
 
Ndugai anaangalia jinsi ya kum-fix.
Options zipo nyingi ikiwemo:-
Ukifanya hivi chama chako hakitafutwa nacho kitakuwa chama kikuu cha upinzani (hataambiwa "chama kikuu cha upinzani bungeni")

Mtaona sarakasi hatari!!!
Tatizo lako hata humjui mwenyekiti wa PAC, wewe unayemuongelea hapa alikuwa mwenyekiti awamu ya nne (2010 - 2015)
 
Na kusaidia 20%
Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are sick bro|||
 
Tatizo lako hata humjui mwenyekiti wa PAC, wewe unayemuongelea hapa alikuwa mwenyekiti awamu ya nne (2010 - 2015)
Tatizo linatoka wapi mkuu? Nimekwambia "sabufa" anaperuzi "options" nikatupia kamfano geresha! Hahaaahjajjah naona unapumua ya kwamba umepata cha kumtetea ******!!!!!

Holaaaaaah
 
Wamesahau kwamba wanatumikia wananchi,imekuwa kama watoto wa baba mmoja wakigombana,mwenzie aliyekaribu zaid na baba atamnyima mwenzie vya kuchezea au kumsusia jambo akipima upepo wa baba atasema nini akijua kuwa yeye ni "fevaret soni" hafanywi kitu ila yana mwisho km za "PANYA TU"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…