MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
NGOJA AJAE KWENYE RADAR
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ataondoka kazini kwa yafuatayo;
a.Kustaafu
b.Kuugua
c.Kwa sababu ya tabia mbaya, au kwa kuvunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Ibara ya 144
v. Kuondolewa kazini kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ni mchakato mrefu unaoanza na Rais kuteua Tume Maalum ambayo itakuwa na Mwenyekiti na Wajumbe wengine wasiopungua wawili. Ibara ya 144 (3).