pundadumeafrika
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,619
- 2,074
waiting for edited report kama rasimu ya katiba ilivyochakachuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No need to edit, there will be no room for scrutiny!!!!!!!waiting for edited report kama rasimu ya katiba ilivyochakachuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewe Tanzania Tanzania, mama yangu Tanzania mbona umegeuka na kuwa kahaba? Mbona umebadilika hivi mama yangu? Ya nn kutudhalilisha watoto wako? Watazame majirani zetu wanavyokusema. Mama huu ukahaba utaisha lin?
Tanzania siyo Kahaba ila kuna watu wachache wenye dhamanaEwe Tanzania Tanzania, mama yangu Tanzania mbona umegeuka na kuwa kahaba? Mbona umebadilika hivi mama yangu? Ya nn kutudhalilisha watoto wako? Watazame majirani zetu wanavyokusema. Mama huu ukahaba utaisha lin?
Asante kwa ufafanuzi mzuriNadhani tunachanganya Mambo kidogo Kwa uelewa wangu
Tukijikimbusha kidogo kabla ya Kikwete,Bunge lilikuwa halifanyi kazi Kwa pamoja na CAG ila walikuwa wanafanyia kazi ripoti ya CAG iliyoletwa na Rais Kwa mujibu wa katiba ya nchi inavyotaka
Katika kipindi cha kikwete ndio ukaja utaratibu wa CAG kufanya kazi na Bunge Kwa maana kwamba anaipeleka ripoti yake Kwa Rais pia anawajibika kupeleka ripoti hiyo ktk Bunge na pia kusaidia kamati ya Bunge inayojadili ripoti yake kutafsuri au kufafanua sehemu ambayo wanakamati wameshindwa kuelewa Kwa undani,hayo yota yanafanika bila kutajwa ktk katiba
Hivyo kilichofanywa na Bunge ni kurejea utaratibu wa awali wa kupokea ripoti ya CAG kutoka Kwa Rais wa nchi na kuijadili na kutoa maoendekezo
Na huo ndio utaratibu unaotamkwa na katiba hivyo wataendelea nao wala sioni sehemu ambayo itamlazimisha Rais kuomba Bunge wapokee ripoti ya CAG kwani ni takwa la katiba
Naona jibh limetoka sasaAliyekagua na kudhibiti ni Prof. Asaad, CAG.
Ukiitanguliza CAG ukamalizia na Asaad unacheza mziki ndani ya ukumbi huo huo!!
Mama yetu Tanzania kawa NguchawadoEwe Tanzania Tanzania, mama yangu Tanzania mbona umegeuka na kuwa kahaba? Mbona umebadilika hivi mama yangu? Ya nn kutudhalilisha watoto wako? Watazame majirani zetu wanavyokusema. Mama huu ukahaba utaisha lin?
Bungeni itaenda version ile ile Au iliyohaririwa?
Una kila darili ya kuwa HASIDI. Hasadi ni kitendo cha kuchukia Neema aliyoipata mwenzio.Mniwie radhi ya kwamba sitawatafunia kila kitu.
Lengo ni kuhakikisha anamiminiwa sifa kutoka kila pembe ya nchi.
Bunge litaombwa kuipokea na kuijadili report ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG Prof. Asaad.
Spika ndugai atawarai wabunge ya kwamba wakubali ombi la kiongozi mkuu wa serikali, waweke kando msimamo wa azimio lao (bunge) na kukubali kuipokea na kuipa kamuda kadoooogo ka kuijadili.
Kina Jenista na vibajaji ndio watakuwa wachangiaji wakuu ambao kimkakati watatumia muda wote kumsifu na kumtukuza mfalme kwamba ana busara saaana.
Kitakachofuata ni maandamano ya kulisifu jiwe nchi nzima.
"ya nini malumbano ya nini maneno, Najiweka pembeni naepuka msongano" (sijui nani waliimbaga huu wimbo)
Juhudi za kusifiwa ni nyingi mno kipindi hichi nafikiri ni arakati za kuuadaa ulimwengu huko mbeleniMchezo ule ule wa kutengeneza tatizo halafu mtu yule yule anajifanya ametatua tatizo na kuitisha maandamano ya kumsifia ishiiii maccm buana yapo kama telemundo
Kusifu na kuabudu kunawapasa wanyofu wa moyo."vasheni" haina "impakti" kwa maana haitajadiliwa.
ni kusifu na kuabudu mwanzo mwisho.
"vasheni" haina "impakti" kwa maana haitajadiliwa.
ni kusifu na kuabudu mwanzo mwisho.
Hawezi kupata huo ujasiri maana ataelekezwa nini cha kufanya ili mradi awafurahishe watuMwenyekiti wa PAC ambae ndio mhusika wa Moja kwa Moja wa Reports Za CAG alitakiwa atoe Kauli yake
Ndugai anaangalia jinsi ya kum-fix.
Options zipo nyingi ikiwemo:-
Ukifanya hivi chama chako hakitafutwa nacho kitakuwa chama kikuu cha upinzani (hataambiwa "chama kikuu cha upinzani bungeni")
Mtaona sarakasi hatari!!!
Ewe Tanzania Tanzania, mama yangu Tanzania mbona umegeuka na kuwa kahaba? Mbona umebadilika hivi mama yangu? Ya nn kutudhalilisha watoto wako? Watazame majirani zetu wanavyokusema. Mama huu ukahaba utaisha lin?
Mchezo ule ule wa kutengeneza tatizo halafu mtu yule yule anajifanya ametatua tatizo na kuitisha maandamano ya kumsifia ishiiii maccm buana yapo kama telemundo