Huna adabu
Waswahili wengi wavivu wa kufikiri, ni hatari sana.
Report ile inaitwa REPORT YA CAG ASSAD. Huwa haiandikwi Report ya CAG.
Bunge limesema "halifanyi kazi na Asaad/CAG" sasa ikitokea imepelekwa report ya ukaguzi kama katiba inavyoelekeza nayo imesainiwa na Prof. Asaad, yule aliyeazimiwa kususiwa kazi zake, nini kitafuata kama sii kabrasha kufungiwa kabatini au kakataliwa kupokelewa kabisaaaa!!
Hizi ripoti zimeandaliwa na kusainiwa na prof assad. Kama Kuna maelezo yoyote ya tafsiri ya hii ripoti yeye Ndo anaweza kuitoa mwenyewe au kwa kutumia mwakilishi/msaidizi. Taarifa iliyoandaliwa na kusainiwa na mtu usiyetaka kufanya nae kazi ukiisoma na kuijadili na kuitolea maamuzi utasema hufanyi naye kazi? Naomba uangalie mambo kwa umakini.Mkubwa pitia tena taarifa ya Bunge hawajasema wamesusia ofisi ya CAG na wala kususia ofisi ya CAG walichokisema ni kufanya nae kazi, ukielewa hapo nadhani unaweza kuelewa nilichokiandika
Ina maana wewe hujui mwenyekiti wa PAC ni nani? Natilia shaka uelewa wako na sambamba na hilo nachelea kusema kuwa ulicholeta chaweza kuwa UZUSHI TU hakina ukweli wowote...Ndugai anaangalia jinsi ya kum-fix.
Options zipo nyingi ikiwemo:-
Ukifanya hivi chama chako hakitafutwa nacho kitakuwa chama kikuu cha upinzani (hataambiwa "chama kikuu cha upinzani bungeni")
Mtaona sarakasi hatari!!!
Pole sanHeri yako mnyarwanda
In God we trusta. Naona chuki ndiyo imekutawala
Wewe ndiye uelewa wako ni mdogo naona umetawaliwa zaidi na jaziba za kiitikadiIna maana wewe hujui mwenyekiti wa PAC ni nani? Natilia shaka uelewa wako na sambamba na hilo nachelea kusema kuwa ulicholeta chaweza kuwa UZUSHI TU hakina ukweli wowote...
Unaweza kubishana na "sabufa"?
Kiwango chako cha uelewa ni kidogo sana!Ina maana wewe hujui mwenyekiti wa PAC ni nani? Natilia shaka uelewa wako na sambamba na hilo nachelea kusema kuwa ulicholeta chaweza kuwa UZUSHI TU hakina ukweli wowote...
Hizi ripoti zimeandaliwa na kusainiwa na prof assad. Kama Kuna maelezo yoyote ya tafsiri ya hii ripoti yeye Ndo anaweza kuitoa mwenyewe au kwa kutumia mwakilishi/msaidizi. Taarifa iliyoandaliwa na kusainiwa na mtu usiyetaka kufanya nae kazi ukiisoma na kuijadili na kuitolea maamuzi utasema hufanyi naye kazi? Naomba uangalie mambo kwa umakini.
Bunge linachomaanisha ni kwamba ripoti ya CAG assad hawatoitambua sababu ina signature ya prof assad na yeye hawafanyi nae kazi. wakiisoma hiyo ripoti na kuijadili basi maana ya sentensi hatufanyi nae kazi itakuwa haipo.
Yaani kwa mujibu wa maelezo yako ni kuwa Zitto bado ndiye mwenyekiti wa PAC ... Nakuondoa tongotongo tu kuwa Zitto sio mwenyekiti wa PAC , you are living in the past ...Kiwango chako cha uelewa ni kidogo sana!
"Option zipo nyingi" kama neno hilo huna uwezo wa kulielewa hivi kweli unaweza kutofautisha kati ya CAG prof. Assad na prof. Assad CAG?
Neema ya ndugway kupata mume ndiyo unayokusudia kuuaminisha umma kuwa siipendi?Una kila darili ya kuwa HASIDI. Hasadi ni kitendo cha kuchukia Neema aliyoipata mwenzio.
Pole sana ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyesoma na aonyeshe nilipomtaja zito.Yaani kwa mujibu wa maelezo yako ni kuwa Zitto bado ndiye mwenyekiti wa PAC ... Nakuondoa tongotongo tu kuwa Zitto sio mwenyekiti wa PAC , you are living in the past ...
Kila kitu mnakijua ila mmekuwa kama mandondocha wa kushangilia kila uchafu , mnatia aibu sana !Bungeni itaenda version ile ile Au iliyohaririwa?
Sheria inasema kutakuwa na Mdhibiti wa Hesabu za serikali yaaani Mtu. Prof. Hajawah kufanya kaz na Bunge nje zaidi ya U CAG wake kwahiyo kusema watafanya kazi na ofis ni kufuta sifuri kuandika oooNimeuliza humu, bunge limekataa kufanya kazi na ofisi ya CAG au na prof Assad? Maana kama ni mtu (mkosaji) ofisi bado ipo na ina watendaji wengine