Tetesi: Serikali ya Magufuli kuipeleka bungeni report ya CAG Asaad kwa lengo maalum!!

Aliyekagua na kudhibiti ni Prof. Asaad, CAG.
Ukiitanguliza CAG ukamalizia na Asaad unacheza mziki ndani ya ukumbi huo huo!!
Hakuna ofisi inaitwa CAG, ofisi ni National Audit Office, kwa sasa ukimukata Prof Assad ni kwamba umemkata CAG na ukimkataa CAG umemkataa Prof Assad.

Ndo maana kwenye reports zake anatumia I (mimi) CAG then ndo anaweka jina. Mtu mwingine akisaini anaweka kabisa for CAG.

Wangesema wameacha kufanya kazi na CAG Prof Mussa Assad na sio National Audit Office.
 
Nimeuliza humu, bunge limekataa kufanya kazi na ofisi ya CAG au na prof Assad? Maana kama ni mtu (mkosaji) ofisi bado ipo na ina watendaji wengine
Baad ya kusikia maswali hayo mitandaoni Nduagai amelitolea ufafanuzi wake kwamba Bunge lilikataa kufanya kazi na Asad (Professor) na sio ofisi ya CAG, Naamini kuna mkanganyiko wa hali ya juu hapa, Lakini pia akaongeza kusema kwamba hiyo ripoti ya mkaguzi ikipelekwa Bungeni wakakuta imesainiwa na Asad hawataipokea, hii ndio tanzania ya viwanda
 
yani version ya CAG huwa haihaririwi yani ndo maana katiba I nampa mamlaka CAG endapo rais ata iwasilisha bungeni ndani ya siku saba CAG ataipeleka mwenyew report na bunge halijapewa mamlaka ya kukataaa kutokea report ya CAG....ila wa naweza waka ijadili au kutokuijadili
Bungeni itaenda version ile ile Au iliyohaririwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe sasa linakua jabali. Endeleeni kubeza jiwe kama halikuwaangukia na kuwapondaponda wapinga maendeleo na vibaraka wenu.
 
Wameipokea au hawakuipokea?
 
Report imesainiwa na nani?
 
Naomba unieleweshi, unaposema "Bunge lilikuwa halifanyi kazi Kwa pamoja na CAG" una maana gani?
 
Na hiki ndo kipimo cha "IQ" za wabunge,spika na jiwe lenyewe.
 
.....
.....very interesting
Wameshaanza akadabra! Eti kwenye report yote ya CAG wanaona mahesabu ya chadema tu!!!

Na ndiko watafunga PA (Public Address) kupita kila mkoa na wilaya kuutangazia umma kuwa Chadema wameiba hela za umma wala hawatasema wamekosea taratibu za usajili wa baadhi ya mali za chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…