Serikali ya Marekani ichukue hatua Kali kwa viongozi wa Iran kwa kuharibu kuua wanasiasa na viongozi wa Marekani

Serikali ya Marekani ichukue hatua Kali kwa viongozi wa Iran kwa kuharibu kuua wanasiasa na viongozi wa Marekani

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya wahuni hawa.

IRI imekuwa ikiunga mkono makundi hatarishi ya kigaidi duniani kote kuanzia mashabiki ya kati na Magharibi ya Afrika.

Povu ruksa kwa wavaa kobazi.
Cc incredible terminator
bwanautamu12
BWANA UTAMU

Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujaribu badala ya kuharibu
 
Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya wahuni hawa. IRI imekuwa ikiunga mkono makundi hatarishi ya kigaidi duniani kote kuanzia mashabiki ya kati na Magharibi ya Afrika.
Povu ruksa kwa wavaa kobazi.
Cc incredible terminator
bwanautamu12
BWANA UTAMU

Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujaribu badala ya kuharibu
Acha kudanganyika kirahisi,hilo ni la wamarekani wenyewe na kibabu chao kinacho buruzwa na baadhi ya washenzi ndani ya amerika na wapumbavu wa ulaya,japo baadhi yao wamesha katishwa roho ya kisiii hasaaa, na hii ilikuwa ni miongoni mwa mateke yao ya mwisho ya kukata roho kisiii hasaaa.
 
Back
Top Bottom